Ninauza shamba la Miti ya Nguzo Heka 25 Mapanda-Mufindi

kakaamiye

Senior Member
Aug 5, 2009
179
90
Salaam wadau,

Ninauza shamba la miti ya nguzo yenye umri wa mwaka mmoja.

Heka 25, jumla ya miti 20,000.

Shamba lipo Mufindi eneo linaitwa Mapanda, njia ya kuelekea bwawa la Kihansi.

Shamba ni la kwangu na ninaliuza kwakuwa nina hitaji la dharura la fedha.

Bei ni Ths. 680,000 kwa hekari moja (bei ya heka moja iliyooteshwa miti si chini ya Shs. 800,000).

Ninauza kwa bei ya offer kwa ajili ya dharura niliyonayo.

Mwenye kuhitaji ani PM kwa maongezi zaidi
 
Ndugu ungeweka na picha za miti ilivyo, utafaidi, nimeuza juzi msitu wangu huko mufindi kwa mfumo huo haraka sana. Picha za msitu muhimu
 
Back
Top Bottom