INAUZWA Ninauza selcom mashine

meshakiJr

JF-Expert Member
Mar 19, 2021
289
147
Habari wakuu kama una uhitaji au unataka kuanza au kuboresha biashara yako, karibu hii selcom mashine
Ukiwa nayo hii utaweza kufanya huduma nyingi sana

Ikiwemo malipo mengi ya kimtandao kama kununua umeme (luku)
Malipo ya kiserikali ikiwepo faini zote za sumatra
Ununuzi wa vifurushi mbalimbali
Malipo ya ving'amuzi
HUDUMA NI NYINGI SANA

Hii mashine imetumika kwa muda mfupi baada ya muingiliano biashara ikafungwa

Nauza laki nne tu ipo bunju karibu sana NAMBA YANGU YA SIMU 0763542515 AU 0658676534

IMG-20220603-WA0009.jpg
IMG-20220603-WA0011.jpg
 
Maana hizo ni moja ya biashara za hovyo kabisa, faida zake kiduuuchu mno, watu tunafanya kama ziada tu lakini ukitaka kuzitegemea kuendeshea maisha Sikh mbili tu unafunga biashara!
 
Maana hizo ni moja ya biashara za hovyo kabisa, faida zake kiduuuchu mno, watu tunafanya kama ziada tu lakini ukitaka kuzitegemea kuendeshea maisha Sikh mbili tu unafunga biashara!
Mkuu ukisema hivyo basi hutafanya biashara yeyote

Unaijua faida ya kuuza vocha?
Unaijua faida ya kuuza soda?

Biashara ni huduma ukipata kidogo A na kidogo B ndio faida hizo
Pia hii ukiiweka kwenye ofisi yako inaongeza thamani
Kuna miamala kwa kujiunga Bank unakuwa wakala
Kiufupi unapokuwa na hii mashine kama ni mfanyabiashara utakuwa umenielewa
Ila kama mfanyakazi tena serikalini UNAKINGA KWA KUSOMA TAREHE HUTAELEWA HILI MKUU

MASHINE IPO WAKUU TUONGEZE THAMANI YA OFISI ZETU
 
Umeua biashara ya watu mkuu!
Kaua kivipi ndugu? Hujawahi kujiuliza kwanini wazee miaka 70 anaokota makopo ili akauze unadhani ujana wake alikuwa hapati pesa?

Hii ni mashine aliye na ofisi yake hana anajua umuhimu wake wa kuwa nayo

UKIMPA PESA NYANI HAINA MAANA ILA MPE NDIZI INA THAMANI KWAKE MAANA JICHO LAKE LINAANGALIA KULA YAKE
AKIFUNDISHWA ATACHAGUA PESA
 
Karibu boss ila ongeza kidogo karibu 0658676534 tuongee
Samahani Mkurugenzi, mtu akinunua hiyo mashine anaweza kubadilisha jina likasoma la kwake? Au itabakia na jina lako ulilo nunulia!

Na inaweza kutumika hata nje ya Dar? Mafani mimi niko huku Lushoto, Tanga. Si inatoa pia na risiti kama zile mashine nyingine za CRDB, NMB, nk?
 
Nasubiri ajibu niko interested pia
 
Hii machine za selcom bei yake halisi tena mpya zile touch zinauzwa 400k ukiwa na leseni na TIN
Kwa upande wa faida selcom faida yake ndogo sana
 
Back
Top Bottom