Ninauza peni za kamera na saa za kamera

Ninauza peni za kamera na saa za kamera

Kwa usalama wa nyumbani kwako wa dada wa kazi siku iz wamekua na mambo mengi unaweza ukaitega nyumbani kwako kama una mtoto mdogo ukajua nini kinaendelea na hatimaye kumuokoa kwenye majanga. Na mambo mengineyo mengi tu
Hapana huwezi kuweka pen au saa nyumbani kufuatilia matukio ya dada wa kazi si lengo lake, vitu hivyo wanatumia kama waandishi wa habari nk. kwa majunbani zipo bulb zenye camera
 
Kwa maana kwamba ukiiweka nyumban haiwezi kurekodi au?
Hapana huwezi kuweka pen au saa nyumbani kufuatilia matukio ya dada wa kazi si lengo lake, vitu hivyo wanatumia kama waandishi wa habari nk. kwa majunbani zipo bulb zenye camera
 
Back
Top Bottom