Ninauza mashine za kufua nguo

Ninauza mashine za kufua nguo

The Wolf

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
9,445
Reaction score
20,811
Hizi zimetumika katika biashara kidogo nikazihamishia katika matumizi ya nyumbani, zinafanya kazi vizuri, zote automatic moja ya kufua, kusuuza na kukamua, nyingine kwa ajili ya kukausha, wale wenzangu wa kauka nikuvae hizi ndio zenyewe

Sababu ya kuuza: napumzisha nyingine za ofisi hivyo ninazileta kwa matumizi home, hizi zinabidi ziondoke

Bei: zote mbili nnataka TZS 800,000/= tuu

Faida utakayopata: unaweza kufungua laundry service ukajiingizia kipato maana bado zinapiga mzigo vizuri

Faida nitakayopata: sitakuwa na mizigo ya mashine stoo ambazo sizitumii

Njia ya mawasiliano: nicheki PM

IMG_0789.JPG
IMG_0790.JPG
 
View attachment 1102189View attachment 1102190
tungenunua, ila sio utamaduni wetu kufulia mashine,

yani hata laundry service sio uwekezaji mzuri, watu wa bongo hawana mentality ya kupeleka nguo kwa dobi, akili zetu zinawaza kufua kwa mkono
 
Ila asikuambie mtu machine za kufulia ni bonge la msaada kuhusu usafi wa mwili ambapo ni faida kubwa sana...

Hiyo ya kukaushia sijawahi tumia but me huwa natumia mashine kufulia tu kisha ikishaspin na switch nobu isuuze na kukamua yenyewe nguo nzito na spin twice zinakuwa almost zishakauka...

Haya makitu kuna binadamu walianza kuyatumia miaka mingi sikujua kama walikuwa wanafaidi kihivyo
 
Sasa mzee baba hili dude la kukausha we unaoga lenyewe linakausha ukitoka bafuni unapasi unatambaa
 
tungenunua, ila sio utamaduni wetu kufulia mashine,

yani hata laundry service sio uwekezaji mzuri, watu wa bongo hawana mentality ya kupeleka nguo kwa dobi, akili zetu zinawaza kufua kwa mkono
Hahahhaha
Mimi hua napeleka suti tuu, maana kufua na mkono utaharibu tuu
Sema nini mkuu, wenye fedha zao vitu kama hivyo ni kawaida sana
 
Mfano mm nikiwahi nnarudi home saa tatu, mke wangu saa mbili na anapumzika siku moja tuu kwa wiki, lazima tuwe na vitu kama hivi huwezi kumuachia dada nguo zenu afue
 
Kuna Banda la ngombe najenga nikimaliza mpango wangu wa pili ni kumiliki hii kitu
 
Alaf pia Kuna wale wamama wa mtaani wanaozunguka kutafta nguo za kufua kwa Bei cheap

Kabisa mkuu, ukiwa nazo hizi unaweza ku target mabachela hata mtamdaoni unafanya pick and delivery, maisha yanaenda binafsi nimetokea huko sema mambo ni mengi mda mchache
 
Nna hii hapa pia manual ipo stoo mwaka unaisha mwenye YZS 300,000, aje ni manual
IMG_6744.JPG
IMG_6745.JPG
 
Back
Top Bottom