Ninauza mashine za kufua nguo

Mimi ni mgeni kwenye JF, unaposema nikutafute kwenye PM maana yake nifungue wapi ili nipate namba yako? Naomba mnijuze.

Mkuu click jina langu kisha send message, nnasubiri mteja chap chap
 
Tofauti yake katika ufanisi ni nini ukilinganisha na ile ya automatic?

Automatic inafua, inatoa maji machafu, inasuuza, kisha inakamua, hii manual unaweka sabuni, maji yakifika level inafua mda ukifika unabonyeza batani maji yatoke, unafungulia maji ya kusuuza, ikimaliza unatoa kwenye kufua unaweka kwenye kukamua, unaset time ikimaliza unatoa nguo na kwenda kuanika, hope umenielewa bro, ila zote zina water inlet and outlet
 
13 mega pixel naomba namba ya fundi mzuri wa hizi mashine, yangu auto imezingua sensor ya mlango. Haikubali kufua coz ina sense mlango uko wazi, mpya sijawahi kuitumia ilikaa sana kabla sijafanya connection.
 
13 mega pixel naomba namba ya fundi mzuri wa hizi mashine, yangu auto imezingua sensor ya mlango. Haikubali kufua coz ina sense mlango uko wazi, mpya sijawahi kuitumia ilikaa sana kabla sijafanya connection.

Mkuu, hapo sinza mori nyuma ya kile kibanda cha juice/burger (petrol station) hesabu frame nne tano utamuona fundi, huyo hashindwi kitu mkuu sema kazi zake anafanya usiku mchana unaacha kazi tuu
 
Mimi ni mgeni kwenye JF, unaposema nikutafute kwenye PM maana yake nifungue wapi ili nipate namba yako? Naomba mnijuze.
PM mana ake ni private message yani ni kama DM za insta (direct message) ama kumtumia mtu mesej inbox kwa whatsapp
 
PM ndio nini? Nazihitaji
Hizi zimetumika katika biashara kidogo nikazihamishia katika matumizi ya nyumbani, zinafanya kazi vizuri, zote automatic moja ya kufua, kusuuza na kukamua, nyingine kwa ajili ya kukausha, wale wenzangu wa kauka nikuvae hizi ndio zenyewe

Sababu ya kuuza: napumzisha nyingine za ofisi hivyo ninazileta kwa matumizi home, hizi zinabidi ziondoke

Bei: zote mbili nnataka TZS 800,000/= tuu

Faida utakayopata: unaweza kufungua laundry service ukajiingizia kipato maana bado zinapiga mzigo vizuri

Faida nitakayopata: sitakuwa na mizigo ya mashine stoo ambazo sizitumii

Njia ya mawasiliano: nicheki PM

View attachment 1102189View attachment 1102190
 
Back
Top Bottom