Thanks mkuuMkuu huyu hapaView attachment 1102407
Ubarikiwe mkuu, me nafurahi sana nikiona bado kuna watu walio na utayar wa kusaidia wenzao kama wewe.Ninayo ila sasa siikumbuki ni ipi nime search fundi zimekuja kama 20, na mda mrefu nime deal nae, ukipita hapo cheki au mda si mrefu nitapita hapo nitakutumia hapa hapa
Hahaha , kawaida mkuu mbona nimeuliza tu swali la kawaida , usipanick mzeeWe jamaa ukizeeka utakuwa mwanga bila shaka, vitu vidogo kama hivi vinakusumbua
Hivi utumiaji wa umeme kwenyenmashine za kufulia nguo upoje? matumizi ni mengi au?Hizi zimetumika katika biashara kidogo nikazihamishia katika matumizi ya nyumbani, zinafanya kazi vizuri, zote automatic moja ya kufua, kusuuza na kukamua, nyingine kwa ajili ya kukausha, wale wenzangu wa kauka nikuvae hizi ndio zenyewe
Sababu ya kuuza: napumzisha nyingine za ofisi hivyo ninazileta kwa matumizi home, hizi zinabidi ziondoke
Bei: zote mbili nnataka TZS 800,000/= tuu
Faida utakayopata: unaweza kufungua laundry service ukajiingizia kipato maana bado zinapiga mzigo vizuri
Faida nitakayopata: sitakuwa na mizigo ya mashine stoo ambazo sizitumii
Njia ya mawasiliano: nicheki PM
View attachment 1102189View attachment 1102190
Hizi zimetumika katika biashara kidogo nikazihamishia katika matumizi ya nyumbani, zinafanya kazi vizuri, zote automatic moja ya kufua, kusuuza na kukamua, nyingine kwa ajili ya kukausha, wale wenzangu wa kauka nikuvae hizi ndio zenyewe
Sababu ya kuuza: napumzisha nyingine za ofisi hivyo ninazileta kwa matumizi home, hizi zinabidi ziondoke
Bei: zote mbili nnataka TZS 800,000/= tuu
Faida utakayopata: unaweza kufungua laundry service ukajiingizia kipato maana bado zinapiga mzigo vizuri
Faida nitakayopata: sitakuwa na mizigo ya mashine stoo ambazo sizitumii
Njia ya mawasiliano: nicheki PM
View attachment 1102189View attachment 1102190
Mwache tu ni wivu tu hhahahahahWe jamaa ukizeeka utakuwa mwanga bila shaka, vitu vidogo kama hivi vinakusumbua
Bado upo kwa shemeji yako?NIKIPATA HELA nitazinunuaga tu hizi niweke kwangu bila kusahau AC
Mapango ya AmboniUtakuwa unaishi zama za kale sana braza, unapatikana wapi?
Bado upo kwa shemeji yako?
Ila asikuambie mtu machine za kufulia ni bonge la msaada kuhusu usafi wa mwili ambapo ni faida kubwa sana...
Hiyo ya kukaushia sijawahi tumia but me huwa natumia mashine kufulia tu kisha ikishaspin na switch nobu isuuze na kukamua yenyewe nguo nzito na spin twice zinakuwa almost zishakauka...
Haya makitu kuna binadamu walianza kuyatumia miaka mingi sikujua kama walikuwa wanafaidi kihivyo
Hizi sindio hata Mo ametoa yake kama hii! Sema hizi za ki Longtime sindio zitakuwa zinakula umeme sana?Nna hii hapa pia manual ipo stoo mwaka unaisha mwenye YZS 300,000, aje ni manual View attachment 1102293View attachment 1102294