Ninauza kisimbuzi cha Startimes

Ninauza kisimbuzi cha Startimes

Ibrah

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2007
Posts
2,730
Reaction score
536
Wadau, salaam! Ninauza kisimbuzi cha Startimes kile walichoingiza sokoni kwa mara ya kwanza wakati wa Kombe la Dunia South Africa mwaka 2008. Mtakumbuka wakati ule walituuzia shilingi 70,000/- .

Bei ninayouza ni Tsh 40,000/- tu. Kisimbuzi kinafanya kazi na hakijawahi kufunguliwa wala kufanyiwa marengenezo yoyote. Ni visimbuzi imara sana tofauti na hivi wanavyotuuzia sasa .

Mawasiliano 0787377511/ 0719055711.

IMG_20220101_214534_290.jpg
 
View attachment 2065483
Utapata mteja kwakuwa wanaoonyesha Afcon
 
Back
Top Bottom