Ninauza engine ya nissan

Ninauza engine ya nissan

Tanganyika50

Member
Joined
Dec 8, 2011
Posts
97
Reaction score
19
Habari wadau wa jf,
Nina uza engine ya NISSAN Model TD27 Turbo.
Iko complete na accesories zake zote plus a new fuel pump.
Bei ni 2.5
Maelewano yapo kwa serious buyers only.
Kwa mawasiliano ni PM au call @ 0689868640
Karibuni sana.
 
Imetumika muda gani bongo?
Ya Petrol au Diesel?
CC ngapi?
Kwanini unaiuza?
Ina Guarantee?
 
Imetumika muda gani bongo?
Ya Petrol au Diesel?
CC ngapi?
Kwanini unaiuza?
Ina Guarantee?
Dah,
Imetumika kama 4 yrs hapa bongo.Ni ya diesel,cc 2000,Tatizo lilikuwa pump na uelewa mdogo wa mafundi wetu so nikaibadilisha nikaweka TD27 so called 'Kavu" Otherwise haina tatizo kbs.Mimi si mfanyabiashara so anayeitaka atapata fursa ya kuicheck na fundi wake akitaka.
Asante.
 
Nimeshituka kidogo maana nahitaji ya nissan patrol TD 42 complete ...nipo dar

0715/0784/764 800989

alfredmkohiatgmaildotcom
 
Back
Top Bottom