Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,837
- 17,496
Unamshika t.ko Magu au sio?Rejea kichwa cha habari hapo juu.Nina dola Hizo zipo bank namie nipo Mwanza aliye na shida anicheki twende bank nichomoe nimpatie naye ananipa Hela naweza bank. Bei ni 2310 kwa kila dola. Nina tupo kwenye free economy
Kwann usichenji/chi hapohapo benki
Hivi hakuna masala wowote kuuza hivi kienyeji??
Bank gani hii ina rate hizi??Benji wananunua kwa rate ndogo sana ya 2270 na kuiuza kwa 2315 so ukipiga hesabu hapo kuna Hela nyingi zinapotea ,pia hivi vidola sio laundering money wakuu. Watu wanatakatisha dola Milioni ama billions of dollars wakuu sio hivi vidola vya nyanya wakuu
Benji wananunua kwa rate ndogo sana ya 2270 na kuiuza kwa 2315 so ukipiga hesabu hapo kuna Hela nyingi zinapotea ,pia hivi vidola sio laundering money wakuu. Watu wanatakatisha dola Milioni ama billions of dollars wakuu sio hivi vidola vya nyanya wakuu
Utakuja kuozea jela kisa 90,000/= pili uhangaishane na mtu mpka benki kisa 90,000/=
2000*2310Utakuja kuozea jela kisa 90,000/= pili uhangaishane na mtu mpka benki kisa 90,000/=
Angalia crdb mkuu ndo wanazo Hizo rate mkuuBank gani hii ina rate hizi??
Nina imani ukiombwa hata jero lazima utauliza ni ya nini unataka. Hakuna Hela kubwa mkuu. Hii hapa ni win win situation. Ila ninashukuru kwa mchango wako.Huyu jamaa ametumwa si bure,anataka kutukamatisha
Bank gani hii ina rate hizi??