A Amoflo JF-Expert Member Nov 14, 2014 207 13 Mar 22, 2016 #1 Kwa mwenye uhitaji wa Bein Receiver ila haina card ni receiver tu anaweza kuwasiliana na mie kwenye whatsapp namba yangu 0778080031 Attachments IMG_0114.JPG 213.2 KB · Views: 48 IMG_0115.JPG 169.8 KB · Views: 44 IMG_0116.JPG 106.8 KB · Views: 48 IMG_0117.JPG 176.4 KB · Views: 41 IMG_0118.JPG 161.6 KB · Views: 45
Kwa mwenye uhitaji wa Bein Receiver ila haina card ni receiver tu anaweza kuwasiliana na mie kwenye whatsapp namba yangu 0778080031
Abuu Kauthar JF-Expert Member Jul 10, 2011 4,203 6,299 Mar 22, 2016 #2 haina kadi kivipi sijaelewa, alafu weka bei hapa acha kuficha ficha
Ziggler JF-Expert Member Mar 27, 2013 378 127 Mar 22, 2016 #3 Sasa kama umauza bila kadi tutaitumiaje??
Ombudsman JF-Expert Member Apr 18, 2012 3,565 3,730 Mar 22, 2016 #4 unauza ujaweka bei,ujaweka madhara ya kutokua na kadi
A Amoflo JF-Expert Member Nov 14, 2014 207 13 Mar 22, 2016 Thread starter #5 Receiver ipo yenyewe Kama ilivyo, card iliyopo ime expire ndio maana sijaiweka kabisa. Receiver naiuza laki 1
Receiver ipo yenyewe Kama ilivyo, card iliyopo ime expire ndio maana sijaiweka kabisa. Receiver naiuza laki 1
T TRUVADA JF-Expert Member Jan 6, 2014 4,539 1,772 Mar 22, 2016 #6 Sasa cadi inapatikanje isje ikawa unauza gari lisilo na injin