Ninaunga mkono hoja ya Godbless Lema kuhusu utalii. Soma hapa alichoandika mtandaoni

To make something special, you gotta first make people believe it’s special.

Msingi wa ‘culture tourism’ ni elimu inayoambatana na jengo au eneo.

Majengo ya kale yamejaa kila sehemu Asia, EuropÄ™ na America, lakini si kila jengo ni visitors attraction; kuna majengo mapya yanavutia wageni kushinda ya kale.

Muhimu ni hadithi unayoweza simulia, mfano majengo ya marehemu ‘Zaha Hadid’ mengi ni modern ila sasa hivi ni iconic yes ni mazuri (lakini yeye si architecture pekee mwenye majengo mazuri duniani) kwake kuna story ya marehemu kama mwanamke wa kwanza mwenye asili ya Middle East kufanya project kubwa Europe, Asia na Americas, sijui she pioneered this and that style of architecture; kuna story to sell attached to her buildings.

Sasa Tanga kuna majengo ya kale yana significant story gani nyuma yake, story ndio inauza ‘culture tourism’ sio jengo tu kisa la kale.
Ya tanga kwan hayana stori? Au ya sehem nyingine? Unajua pale forodhan hotel ndio ilikua sehem wanapumzika magavana wa kijeruman huku wakiangalia bahar ya hind.jengo hilo lina stori nzuri inayouzika,kwann haipo? Leo ukipita unaona fensi tu ni mahakama hapo karibu na hayt park
 
Kwahio "target market" hapo ni mjerumani zaidi! au mzungu....So asipojisikia kuja bongo je? Mhindi au muarabu atatoka kwao huko aje kuona sehemu mjerumani alikua anapumzika na kunywa kahawa anapata view ya bahari? Lol useless.
 
Back
Top Bottom