Ninauliza mkoa wenye bajaji nyingi za two stoke

Ninauliza mkoa wenye bajaji nyingi za two stoke

shad

New Member
Joined
Nov 23, 2011
Posts
3
Reaction score
0
Nina spare nyingi za bajaji za two stroko nipo tunduma hapa kwasasa kunabajaji aina ya tvs so nilikuwa ninaomba kwa yeyote anayejua sehem ambayo hizi bajaji zinazotumia two stroke zinapopatikana kwa wingi ninaomba anijulishe
 
Tvs ni tricycle za China na bajaj ni tricycle za india.
Bajaj ni bajaj na TVS ni TVS
Kwahiyo TVS sio bajaj
 
Tvs ni tricycle za China na bajaj ni tricycle za india.
Bajaj ni bajaj na TVS ni TVS
Kwahiyo TVS sio bajaj


OK ninazungumzia pikipiki tyre tatu aina ya tvs na ile inayo tumia two stroke
 
Back
Top Bottom