Tarakilishi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 2,180
- 2,454
Ikiwezekana maana yake na system ya icloud imekufa! Any jailbroken apple devices hazilindwi na apple tena! Kwa maana nyingine kama goal yako ni usalama basi simu yako si salama tena.Kwa iPhone kutoa iCloud inawezekana,
Ila inatumia Muda kidogo ku-jail break process zake!!!....Ndo maana kila baada ya Muda Huwa wanatoa updates kwa ajili ya kudhibiti access.
Kwa hapa town nawafamu vijana 2 wanakufanyia iyo kazi .Ila ghalama zake sio hizo twenty,ni km 120 mpk 200.pia inategemea km ilikuwa imeripotiwa lost au hapana!!,km lost status encryption inakuwa ngumu na ghalama zinaongezeka.
Inawekana ku bypass iCloud.
Ikiwezekana maana yake na system ya icloud imekufa! Any jailbroken apple devices hazilindwi na apple tena! Kwa maana nyingine kama goal yako ni usalama basi simu yako si salama tena.
Iringa hatuongei hivyo atakuwa mgogoRudi kwenu Iringa sijui Njombe ukawadanganye wala mbwa wenzio hata kiswahili hujui utajua wapi icloud
umeona ehee sasa maana ya icloud ajui anasema n emailKumbe hata maana ya icloud huijui mkuu.
hivi unajua kwenye icloud unaweza tumia email yoyote mfano mimi natumia email yangu ya gmail kwenye iphone kote kushusha apps as apple id na kama username ya icloud account?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] poooovuMnadanganyana tuu, iCloud ni moja ya sifa ya apple ktk kuuza bidhaa zao
Mafundi wengi bongo wanatafuta shule ya jinsi ya kutoa icloud youtube na wengine wanabaitisha tuu
Apple wamefanya tena security update hata mwezi ujaisha na sasa ni IOS 10.2.1
Wewe unae jifanya unatoa hata nikupe simu yangu ukaenayo mika 7 utaishia kuichuna rangi tuu
Nakushauri toa icloud za tecno tuu
FBI walishimdwa wewe unaweza?
Kwa msaada wa kampuni ya kiisrael inayojishughulisha na masuala hayowaliifungua tena hata bila ya kuwashirikisha apple usifanye mzaha
mbona iPhone 4 hazina icloud we umeitopea wapi?moja iphone 4
hapa ndipo ulipoyumba maana hata icloud yenyewe hujui maana yakeni email ambayo inakufanya uweze kushusha program appstore kama ilivyo kwa andros tunaita gmail kWA CMU ZA iphone TUNAITA ICLOUD
Sifa moja ya hacker ni kujua kitu anacho hack system yake inafanyaje kazi.zinatolewa tu
VIPI KUHUSU IPAD?OFFER....OFFER...
nahitaji mwenye Iphone ina icloud namutolea kwa bei ya 20000 tu nikiwa katika majaribio baada ya kuhitimu mafunzo ya IT
Unaposema sio jambo dogo utaendelea kumpa moyo wa kupambana, mwambie tu kuwa kwa yeye HATOWEZA.Kwa simu zipi? Version gani ya iOS? Wengi wanachanganya "Bypass" iCloud activation na "Remove" iCloud account!
Kuing'oa iCloud account kwenye simu ya mtu ambaye ameiset ON siyo jambo rahisi kwa sababu hizo details ziko stored kwenye server za apple, ili uitoe au uifungue icloud account lazima uidanganye server ya Appe, siyo jambo dogo!
Unahitaji follows instagram??Kama Unaweza pia kuhusu insta followers naomba unambie, nahitaj Acc yenye zaid ya 200k
Yah nahitajiUnahitaji follows instagram??
sio kweli kasome tena ulikosoma...iCloud locked iko hata kwa Iphone 4, then only thing kuhusu iphone 4 ni kuwa huwezi upgrade to IOS 7 and other higher version
ni email ambayo inakufanya uweze kushusha program appstore kama ilivyo kwa andros tunaita gmail kWA CMU ZA iphone TUNAITA ICLOUD