Ninatoa Icloud kwenye simu za Iphone

Ninatoa Icloud kwenye simu za Iphone

OFFER....OFFER...
nahitaji mwenye Iphone ina icloud namutolea kwa bei ya 20000 tu nikiwa katika majaribio baada ya kuhitimu mafunzo ya IT
73546960bfe73f8c7d6316cc95707a39.jpg
Ila lawama apewe magu kwa kufanya maisha kuwa magumu!!

Yani FBI shirika la kijasusi la marekani (sio tanzania) wameshindwa tena mpaka wakaenda kuwaomba israel wawasaidie!! We ndugu yangu umezaje? Au unaleta utapeli?
 
Hahaha raphael unachekesha, yani simu inaomba Apple Id ukiiwasha unaweza kuitoa?? huu wizi... labda simu inayotumika na mhusika kusahau password ya ID hapo nakubali inaweza kutoka.
 
....kama umeweza kuitoa njoo tufungue ofisi tujadiliane na percentage inakuaje then issue ya wateja na bei niachie mimi


kwani kasema hana ofisi na hajui bei ya huduma zake na hana mteja?
 
Kama Unaweza pia kuhusu insta followers naomba unambie, nahitaj Acc yenye zaid ya 200k
 
Back
Top Bottom