Ninatoa elfu 50 Kurejesha Account ya Instagram

Ninatoa elfu 50 Kurejesha Account ya Instagram

Ngawila

Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
18
Reaction score
26
Habari kwa mtu yeyote ambae anaweza kunisaidia kurejesha Account yangu ya Instagram nina toa shillingi elfu 50 cash kama upo njoo DM uaminifu ndo kitu mhimu account baada ya kufungwa inasomeka

We disabled your account, cee
Hi ce__
We reviewed your account and found that it still doesn’t follow our Community Standards. As a result, your account has been permanently disabled.
Learn how our Community Standards help keep the Instagram community an authentic and respectful place for people to express themselves.
 
Mambo madogo sana hayo, tuma hiyo pesa naweka mambo sawa hukuhuku nilipo haina haja ya kuonana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom