Ninatoa dollar $1000 kwa atakaenifanikishia Visa hii

LaRosa

JF-Expert Member
Jul 3, 2020
952
2,875
Ni kwema wazawa?

Ninasafari ya kwenda either Belgium, German, Holland, Sweden e.t.c yani almost Western Europe huko nina project yangu naipush na ninatakiwa kufika huko niianze from scratch but sina tangible reason ya kuwaconvince pale Ubalozini wanipe Visa smoothly.

Kwa hivyo kama kuna agent anahisi anamudu kufanya hii kazi. Anisaidie kwa gharama ya $1000 Kama malipo au kifuta jasho kwake.

Kama pia Kuna mtu anaweza kunitumia invitation letter akiwa huko. It's all good! Nae atapata kitita tajwa.

Kiranga Nyani Ngabu hata Canada, USA Kama possible I'm ready to roll.

Don't worry! I'll wait for your Noble response.

Nakaribisha ushauri.
 
Back
Top Bottom