Aiseeeeh story yangu hiyoo we rud tu nishakusameheWanajamii... Wazima?
Ni mwaka sasa tokea nimeachana na aliyekuwa kipenzi changu. Alinipenda sana. Alinipenda nilipokosa kazi na hata nilipopata.
Kuna kipindi nilihisi kumchoka tu. From no where nilimpigia simu nikamwambia asinijue wala nisimjue.
Nakumbuka binti wa watu alilia sana. Kweli alikuwa na mapenzi ya dhati. Aliomboleza kwa zaidi ya miezi mitatu. Mara nyingine alikuwa akija nyumbani kunipigia magoti akiwa amelewa wakati hakuwa mnywaji. Sikuhisi huruma hata chembe.
Nilichotaka ni kutoona sura yake wala kumsikia ingawa mama mzazi alimpenda sana binti.
Sasa nataka kurudi lakini sielewi ndugu zangu, kumuacha kwa maneno yote mabaya vile, leo narudi vipi? Sijaona simu yake muda sasa.
Msaada tutani.
Malpo nii hapaa hapa now its you're tym but kama unampendaa nenda ukamwombe msamaha maybe anaweza akusamehe but kama ashapata mwinginee poleeWanajamii... Wazima?
Ni mwaka sasa tokea nimeachana na aliyekuwa kipenzi changu. Alinipenda sana. Alinipenda nilipokosa kazi na hata nilipopata.
Kuna kipindi nilihisi kumchoka tu. From no where nilimpigia simu nikamwambia asinijue wala nisimjue.
Nakumbuka binti wa watu alilia sana. Kweli alikuwa na mapenzi ya dhati. Aliomboleza kwa zaidi ya miezi mitatu. Mara nyingine alikuwa akija nyumbani kunipigia magoti akiwa amelewa wakati hakuwa mnywaji. Sikuhisi huruma hata chembe.
Nilichotaka ni kutoona sura yake wala kumsikia ingawa mama mzazi alimpenda sana binti.
Sasa nataka kurudi lakini sielewi ndugu zangu, kumuacha kwa maneno yote mabaya vile, leo narudi vipi? Sijaona simu yake muda sasa.
Msaada tutani.
Nyie ndio wachawi kabisaWanajamii... Wazima?

Wanajamii... Wazima?

KweliMkuu na ww nenda ukalie kwake na ukapige magoti huku ukiwa umelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndo ukweli mkuu, acha aisome tuMwisho wa ubaya ni aibu...
Wewe umesema cha nini.. Usikute wenzako waliyokuwa wanasema watakipata lini washamdaka..
Cc: mahondaw
Nasindikiza kwa makofi matatu....pwa! pwa! pwa! 🙂Eeeh Mungu msaidie huyo dada popote alipo asirudi katika mikono ya huyu mwanaume The Donchop maana wewe mwanaume ni mshen... umenikera sana utafikiri mimi ndo huyo dada na ninaomba upate mdada wa mjini akunyooshe mpaka ushike adabu
KabisaNasindikiza kwa makofi matatu....pwa! pwa! pwa! 🙂
Akae muda wote huo akimsubiri yeye kwani amekua Yesu ?Malpo nii hapaa hapa now its you're tym but kama unampendaa nenda ukamwombe msamaha maybe anaweza akusamehe but kama ashapata mwinginee polee
Sent using Jamii Forums mobile app