Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,342
- 10,684
Ndio mnayoyataka haya my dada c sahihi kuumia. Mwache tu shoga yako akalicheze rumba huko.Naamini bila kudanganywa asingekubali kuolewa.
sasa kama hasingekubali si angepata mwingine. huoni kama kusema uongo kwa kuamini kuwa atapendwa ameikatili hata nafsi yake. hiyo haina tofauti na wanawake wanaoenda kwa waganga ili wapendwe.