Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,232
Kama ningekuw amie mtoa mada, simwambii hadi tuoane. Madam nilishindwa sema ukweli kuanzia mwanzo bora nimalize tu.
Kumbuka kule kwenye chama ana hasara, afu na mke akose? Ndio hivyo, imekula kwa dada.
Kumbuka kule kwenye chama ana hasara, afu na mke akose? Ndio hivyo, imekula kwa dada.
hapana bana, bora mdada ajue mapema akiweza kufanya maamuzi magumu na afanye, kama atahisi kwake ni sawa aendelee. hakuna maana ya kuona halafu ndoa ije kukosa maelewano ndani ya muda mfupi. amwambie tu ukweli.