Andrew john
Senior Member
- Mar 10, 2009
- 110
- 121
Habari za asubuhi wana jamii forum. Nataka kufanya biashara ya kuuza vitabu vya shule kwa ngazi zote. Kuanzia nursery mpaka secondary ila sijajua sehemu ya kuvipata kwa jumla na pia mtaji wake. Mimi nategemea kuanza na 5million na nitakuwa mbeya.