Loeli
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 997
- 763
- Thread starter
- #321
Popote tu dada mume anapatikana. Kumbuka umri wangu ni miaka 47 kwa hiyo si rahisi sana kumjua mgane au mtalaka kwa kuwa hawaandikwi mgongoni. Ila pia kupitia njia hii nimejifunza sana mambo mengi hasa uongo na utapeli. Sasa mimi huwa nina uwezo mkubwa sana wa kuwatambua hawa viumbe wa namna hii na haichukui round unakuwa nje ya mjadala tu. Ninatumaini umenielewa.Kwann utafute mume wa mtandaoniiiii
