Nikushauri tu kuwa siku hizi ili ueleweke kiurahisi inabidi uwe na angalau ka-website kako, github etc,...somewhere ambapo watu wanaweza kukuthaminisha kiurahisi kuliko tu kuweka C.V ya maneno.
Achana nao hao mkuu wanakuchuza tu hao,hayupo hata mmoja anaye weza kuku ajira hapo,, hao wenyewe karibu wote na hawana ajira na wanatafuta kazi walau hata ya office assistant wasikusumbue na vijiswali vyao uchwara hivyo..
Ona kama mwehu huyo mwingine anasema ''elimu yako plz' wakati ushaweka ujuzi ulio nao hayo ni madhara ya kuajiri vyeti badala ya watendaji.. Achana nao bana