Ninatafsiri ndoto kwa bei nafuu. Karibuni sana

Tuanzie apa yaani me toka mwaka uanze naota ndoto ya aina Moja tu nayo Ni shule
Kila siku naota nipo shule japo nimemalizaga siku nyingi ila lazima niote nipo Shule Kila siku iyo Ni nn
Mimi nakutafsiria ndoto bure. Maana yake ni kuwa kuna kila namna unaweza kwenda kuongeza elimu yako. Kama una Masters hakika siku si nyingi utaanza masomo ya PhD. Kila la kheri Mkuu!
 
Nimeota uncle magu anaapishwa mara ya 7 na Edo kapaka nywele zake pico.Hashim rungwe ndio anaongoza upinzani bungeni.mbowe amejiunga ccm,zito anagombea udiwani

Acha ubwege hao wanahusika nini hapa
Mbona husemi ulivyoota unakun..twa
 
Mimi nakutafsiria ndoto bure. Maana yake ni kuwa kuna kila namna unaweza kwenda kuongeza elimu yako. Kama una Masters hakika siku si nyingi utaanza masomo ya PhD. Kila la kheri Mkuu!
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Tuanzie apa yaani me toka mwaka uanze naota ndoto ya aina Moja tu nayo Ni shule
Kila siku naota nipo shule japo nimemalizaga siku nyingi ila lazima niote nipo Shule Kila siku iyo Ni nn
Unaota shule Kwa Sababu ya elimu bure.
 
Tuanzie apa yaani me toka mwaka uanze naota ndoto ya aina Moja tu nayo Ni shule
Kila siku naota nipo shule japo nimemalizaga siku nyingi ila lazima niote nipo Shule Kila siku iyo Ni nn
Bila shaka umefaulu shule vizuri. Ndoto inakuhakikishia utafuzu mitahini inayo kukabili hivi sasa kama ulivyo faulu shuleni.
 
Hakuna ndoto inayotafsirika bwana, ndoto itabaki kuwa ndoto tu,
 
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji123]
Mkuu upo...![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom