Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,545
- 49,420
You can't be serious unamsikiliza huyo kichaa mnywa wanzukiNimeota usiku wa Leo nilikua katka Barabara kuu iliyo bize lakini sikumbuki ni wapi likapita gari la PA ambalo liko wazi halafu NCHIMBI akiwa anahamasisha kitu Kwa wananchi Kama vile kutakuwa na kongamano Fulani akiwatangazia watu lakini Cha ajabu gari lake lilikua spindi sio Kama magari mwingine ya matangazo ambayo huenda polepole. Mimi na wenza tulimshangaa lakini Mimi nikawa nawambia watu yule ni kiongozi mkubwa kwasababu mazingira Kuna wakati yalionekana Kama vile sio bongo, maana yake nini?
Ndoto ni siri yako wew na moyo ndio maana mafaniko yana kuwa magumu ukianza kuelezea watuNakupa za serikali TU,
Nyingine ambayo sijawahi kusema niliota muda Sana Kama mwezi wa 5 hivi
"Kulikua Kama na tukio LA viongozi mawaziri na Rais(aliyemrithi magu) walikua wanashuhudia maporomoko katka mvua iliyokatka makubwa ya maji yale maji yalikua machafu Kama inavyokuaga mvua ikinyesha yale maji rangi yake Kwenye mitaro, Sasa yale maji yalikua mengi mno kiasi Cha kufika kifuani na yalikua yamekata daraja watu wote walikua nje ya maji mawaziri na Hata huyo(aliyemrithi magu) wakishuhudia wakiwa na miavuli
lakini Cha ajabu raisi wa a(awamu ya nne) alikua ndani ya yale maji akizuia kipande Cha daraja kipelekwe na maji alikua kavaa suti nyeusi pamoja na watu kama watatuwakishika Kwa nguvu maji uawa wakifua, Mimi nilimuangali kilichomsumbua wakati ule ilikua baridi ya yale maji na kasi yake Wala sio ule uchafu na takataka zilizo kua zinasukumwa, lakini wake waliokua kuja kushuhudia hakuna Alie muonea huruma Wala kujaribu chochote walikua wanaangali tu. Nilikua najisemea moyoni kwanini hatoki mule lakini mpaka nastuka hakutoka.
Ni kweli ndio maana sijatoa ndoto zangu nimetoa za serikali na nitakua nashea za serikali tuNdoto ni siri yako wew na moyo ndio maana mafaniko yana kuwa magumu ukianza kuelezea watu
VzrNi kweli ndio maana sijatoa ndoto zangu nimetoa za serikali na nitakua nashea za serikali yangu tu
Nimekuvumilia vya kutosha. Kumanyoko zako.Niliota nawabandua Lucas Mwashambwa na GENTAMYCINE nilianza kumpandua wa kwanza saa 1 jioni nikamaliza saa sita usiku nikamkamata wa pili nikaanza nae nikambandua mpaka alfajiri,je hii ndoto inaweza kuja kuwa halisi?
Aisee tena nimekumbuka kule ndotoni kuna mda ulitukana tusi hilohilo baada ya kukusokomeza dudu bila kukupaka mateNimekuvumilia vya kutosha. Kumanyoko zako.
Nchimbi atakimbia nchNimeota usiku wa Leo nilikua katka Barabara kuu iliyo bize lakini sikumbuki ni wapi likapita gari la PA ambalo liko wazi halafu NCHIMBI akiwa anahamasisha kitu Kwa wananchi Kama vile kutakuwa na kongamano Fulani akiwatangazia watu lakini Cha ajabu gari lake lilikua spindi sio Kama magari mwingine ya matangazo ambayo huenda polepole. Mimi na wenza tulimshangaa lakini Mimi nikawa nawambia watu yule ni kiongozi mkubwa kwasababu mazingira Kuna wakati yalionekana Kama vile sio bongo, maana yake nini?
Sio mbaya hata huko ukichaani kuna cheo cha rais wa vichaa kinamsubiriNimeota chura kiziwi amekuwa kichaa anazurula majalalani
Mimi nimeota nimekaa naangalia mawinguni nakuta kuna mwaka unatembea mithili ya mtu anaemurika tochi , kutoka upande mmoja kwenda mwengineKama kuna ndoto uliiota na ukakosa furaha kwa kutokujua maana yake itaje nitakuambia maana yake.
Hata kama hiyo ndoto umeisahau kwa Roho wa Mungu nitakukumbusha na kukutajia maana yake.
Hii ni kuonyesha tu kuwa Mungu yupo kila sehemu
Mungu anajua kila jambo
Mungu anaweza mambo yote.
Utukufu ni kwake Kristo Yesu.
Bwana anarudi.
Yale mate niliyompaka Mama yako Mzazi kisha nikaianza Shughuli yangu Pevu ya Kiumeni (ya Kibailojia) Kwake hadi kukuletea huyo Mdogo wako mbona huyazungumzii?Aisee tena nimekumbuka kule ndotoni kuna mda ulitukana tusi hilohilo baada ya kukusokomeza dudu bila kukupaka mate
ok. Ndoto tuna interpret hath translate. Kwahiyo it needs spiritual way to interpret.Mimi nimeota nimekaa naangalia mawinguni nakuta kuna mwaka unatembea mithili ya mtu anaemurika tochi , kutoka upande mmoja kwenda mwengine
Mara ghafla ule mwanga nikaona umeanguka ardhini kwa shauku nikakimbia kwenda kuona ni kitu gani kile
Kufike nakuta ni kitoto cha kondoo kinaogopa kuonekana na kujibanza kwenye mti...huku kikiwakawaka na kutoa mwanga mithili ya bulb ya taaa
Ni hivo baadae nikastuka
Naomba kujua hii ndoto ina Maana gani
Juzi nimeota niko ndani ya nyumba nimefunguwa siwezi kutoka yani kifupi nimetekwa ,lakni nilikuwa natafuta kila siku njia ya kutoroka nakosa lkn akaja mgeni ndani hajui kumbe hajui kama nimetekwa pale,basi nikamuomba anifungulie mlango nilisingizia kuna mtu ananiita .baada ya kunifungulia nikaanza kukimbia lkn kulikuwa na giza sana kiasi kwamba sioni njia lkn ghfula nikaona mtu mbele yangu akingaa sana kama taa akiwa anakimbia mbele yangu kwahyo nikawa naona njia vzr ,tumekimbia sana nikimfata mtu yule hadi kulipopambazuka ndipo akanionesha njia ya kupita na hapohapo usingizi akaisha nikazindukaKama kuna ndoto uliiota na ukakosa furaha kwa kutokujua maana yake itaje nitakuambia maana yake.
Hata kama hiyo ndoto umeisahau kwa Roho wa Mungu nitakukumbusha na kukutajia maana yake.
Hii ni kuonyesha tu kuwa Mungu yupo kila sehemu
Mungu anajua kila jambo
Mungu anaweza mambo yote.
Utukufu ni kwake Kristo Yesu.
Bwana anarudi.
Umefungwa kichawi.Juzi nimeota niko ndani ya nyumba nimefunguwa siwezi kutoka yani kifupi nimetekwa ,lakni nilikuwa natafuta kila siku njia ya kutoroka nakosa lkn akaja mgeni ndani hajui kumbe hajui kama nimetekwa pale,basi nikamuomba anifungulie mlango nilisingizia kuna mtu ananiita .baada ya kunifungulia nikaanza kukimbia lkn kulikuwa na giza sana kiasi kwamba sioni njia lkn ghfula nikaona mtu mbele yangu akingaa sana kama taa akiwa anakimbia mbele yangu kwahyo nikawa naona njia vzr ,tumekimbia sana nikimfata mtu yule hadi kulipopambazuka ndipo akanionesha njia ya kupita na hapohapo usingizi akaisha nikazinduka