CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,441
Kama kawaida ya CCM, kushabikia vitu ambavyo mbele vina madhara makubwa! Kumbuka -takrima, milioni tano kufungua kesi ya uchaguzi etc! Kenyeta ni toy, hakupashwa kukabidhiwa nchi. Sasa muoneni! yeye na Museveni, Kagame wanafanya utoto!Hali inayoendelea katika jumuia ya Afrika mashariki ni fukuto la siku nyingi,Wanyarwanda na Museveni si watu wa kuwaamini!
Sasa baadaya play boy Uhuru kushinda Urais kwa kushabikiwa sana na serikali ya CCM
Sasa wanatekeleza ndoto yao!
ANGEKUWA ODINGA NI RAIS UTOTO HUU USINGEPITISHIWA MGOGONI MWAKE!
Hizo kwamba Tanzania inasuasua ni old school za kututaka tusi-focus in our interests! Kabla sijaenda mbali, umesoma Chemistry kidogo angalau hadi form four level? Kule kwenye chemistry, kama sikosei kwenye topic ya Electrolysis kuna kitu kinaitwa Electroplating. By definition, Electroplating is the application of electrolytic cells in which a thin layer of metal is deposited onto an electrically conductive surface.EAC haita vunjika mimi ni nacho ona ni TANZANIA kuondolewa au kujiondoa katika community sio kuvunjika,tatizo watanzania wengi wanafikiri TANZANIA ndio EAC,sio hivyo,naimani kwamba kutoka kwa tanzania itarahisisha mipango ya EAC kwenda kasi kwani mambo ya kusubiri wanao suasua kwa kigezo cha kua na hofu ya washirika wenzake eti wanataka udongo wa tanzania haiwezi jenga EAC,nafikiri hawa viongozi wamaliona hilo,EAC haita vunjika instead sasa ndio inaenda kuonekana kwa vitendo.
Jamaa yangu (ni Mtanzania) juzi alikwenda kwenye Warsha ya kimataifa jijini Nairobi...baadaye walipata fursa ya Kutembelea Naivasha...kilichotokea... ni kuwa waandaji ,kwa maandishi, waliwaeleza kuwa masharti ya kuzuru Naivasha ni kwa wenyeji (wakenya) fee yao ilikuwa dola 100 na wageni(foreigners-watanzania na wengine) fee yao ni dola 500. Yaani ile ya kuwepo Jumuiya ya Afrika Mashariki imeishapotea kwa wakenya.
Jamaa yangu (ni Mtanzania) juzi alikwenda kwenye Warsha ya kimataifa jijini Nairobi...baadaye walipata fursa ya Kutembelea Naivasha...kilichotokea... ni kuwa waandaji ,kwa maandishi, waliwaeleza kuwa masharti ya kuzuru Naivasha ni kwa wenyeji (wakenya) fee yao ilikuwa dola 100 na wageni(foreigners-watanzania na wengine) fee yao ni dola 500. Yaani ile ya kuwepo Jumuiya ya Afrika Mashariki imeishapotea kwa wakenya.
Hata mwenyewe ulichoandika nina uhakika huelewi unaongea nini,rudi shule to educate yourself.MotherPaka, Have you gone to Kenya and See how those people live?. Their are living CLASSY Life. THE HAVE AND THE HAVE NOT, and there is a big Difference between them. Majority of Kenyans are living DOG Life.
The song of higher economy because of the Monetary value is Unrealistic to The Real life at homes.
Take an example,
Exchange rates of Japan Yen against US dollar is 1 Japanese Yen equals 0.010 US Dollar, almost about the same with Kenya Shilling V/S US Dollar i.e 1 Ksh equals 0.012 Dollar.
That means, from economic point of view, it is not the exchange rate that determines the Economic Growth of a country or Standard of Life. You can not even imagine to try to relate Japan Economy with Kenya Economy Based on that exchange rate.
In the matter of Economy Growth and Standard of Life improvement, never consider exchange rate.
We purposely devalued our Currency (Tsh) so as we can grow our economy realistically.
Utajengaje umoja na watu ambao wameamua kufanya rushwa ni sehemu ya maisha ya mtanzania kila siku. Wameamua kutotupatia vitambulisho vya taifa kwa vile vitawazuia wao kuendelea kumiliki mali nyingi walizopata kwa rushwa huku wakitumia majina ya bandia. Watu hao hao CCM wanashindwa hata kusimamia maswala ya ajira kwa vijana wetu na kusababisha vijana wetu kwa maelfu kukosa ajira na huku wachina na wakenya wakiwa waporaji namba moja wa ajira zetu.
Lazima tofauti za kisiasa ziwe kubwa zaidi wakati huu hili haya maCCM yajitambue, na kuipeleka nchi kwenye mstari sahihi ili nchi iweze kutumia rasilimali ipasavyo na kuwashinda hapo majirani zetu kiuchumi. Katika hali kama hii chuki zangu dhidi ya maCCM zinaongezeka maradufu
Utajengaje umoja na watu ambao wameamua kufanya rushwa ni sehemu ya maisha ya mtanzania kila siku. Wameamua kutotupatia vitambulisho vya taifa kwa vile vitawazuia wao kuendelea kumiliki mali nyingi walizopata kwa rushwa huku wakitumia majina ya bandia. Watu hao hao CCM wanashindwa hata kusimamia maswala ya ajira kwa vijana wetu na kusababisha vijana wetu kwa maelfu kukosa ajira na huku wachina na wakenya wakiwa waporaji namba moja wa ajira zetu.
Lazima tofauti za kisiasa ziwe kubwa zaidi wakati huu hili haya maCCM yajitambue, na kuipeleka nchi kwenye mstari sahihi ili nchi iweze kutumia rasilimali ipasavyo na kuwashinda hapo majirani zetu kiuchumi. Katika hali kama hii chuki zangu dhidi ya maCCM zinaongezeka maradufu
Ukubwa wa pua si..............................Tanzania ndiyo EAC Rwanda ni ndogo kama mkoa wa Kilimanjaro tu.
Da! umeandika kweli,lakini umeharibu hapo mwisho,hawa jamaa hawana muda wakubembeleza mtu,kama tanzania ilifikiri wataibembeleza siyo hizi nchi tatu wao wanajitoshereza.Bubu Msemaovyo,
Nakubaliana na wewe kwa yote uliyosema kasoro moja tu; nalo hiyo kutimia kwa heading yako! Sina shaka kabisa kwamba ingekuwa ni Rais mwingine, EAC isingechukua hata miezi sita ijayo!! Lakini kwa JK, I doubt unless movie ianzie bungeni!
Hata tusivyompenda, JK ana busara sana yule mzee! Kwa bahati mbaya, busara zikizidi zinageuka na kuonekana kama udhaifu na ndio maana sikushangaa Mnyika alipomuita JK ni dhaifu! Pamoja na busara, JK ana sifa nyingine isiyo na shaka kabisa! Hii ni ile ya ustahimilivu! Ustahimilivu wake ni too much to the extent ni rahisi ku-conclude kwamba ni udhaifu! JK ana sifa nyingine; sifa hii ndiyo inayowagharimu wana-CHADEMA! Mnamwa-undermine sana yule mzee kumbe yule mzee ni very smart katika ku-beat up external pressures! Hebu rejea mlivyopigwa(au umehakama CHADEMA??!!) changa la macho kwenye suala la katiba hivi karibuni pale akina Lissu walipoenda Ikulu! Kwa hiyo, kwa ujanja wake ule ule wote watatulizwa! Ukichanganya hayo yote; sifa za mtu kama huyo zinakuwa kutofanya maamuzi ya haraka; si kwamba ni slow learner, watu wa aina hii huwa hawayumbishwi na external pressures! Kashikashi anazokutana nazo JK ingekuwa ndo Mkapa; ingekuwa watu wengi hivi sasa wamefungwa na wengine kuuawa kuliko wale ambao inaonekana leo hii wameuawa kipindi cha JK! Mkapa alikuwa anatingishika sana na external pressure; wenyewe tunaita ni ukali; alikuwa hataki masihara kumbe ule nao ni udhaifu; defensive mechanism! likuwa hawawezi how to overcome pressure psychologically!
Kutokana na hayo, sina shaka kwamba JK atajaribu kuvuta vuta kidogo, na ikibidi EAC isife kwenye mikono yako! Na ukiona na yeye anahidhinisha kujitoa EAC leo; basi angekuwa mwingine angefanya hivyo miezi sita kabla! Lakini yote kwa yote; na sisi tusidakwe kati kati ya hii psychological torturing iliyoasisiwa na Kenyatta na kupata uungwaji mkono na akina Kagame ambao tayari waliyakuwa na yao nyoyoni! Hii ni psychological attack anayoifanya Kenyatta ili Tanzania tu-loose focus na kukurupuka kwa kuamini kwamba wenzetu wanatuacha! Wenyewe wanasema tunasuasua, kumbe wanafahamu kusuasua kwetu ni kwa ajili ya kulinda maslahi yetu! wanataka tufanye faster, kwahiyo lazima watushitue!
Bubu Msemaovyo, je jinsi yako ni sawa na hiyo avatar yako? Let me assume so! Je, unajisikiaje pale unapomtisha Boyfriend wako kwa kumwambia kwa ukali "kuanzia leo usinifuate fuate na wala simu usinipigie!" Halafu jamaa ndo kwanza anakuambia "safari njema mama!" Ulifanya yote ukidhani atatishika, na kwamba pale utakapoanza kuondoka ulitarajia atakushika mkono! Kutahamaki ndo kwanza jamaa anaingia kuoga! Hawa jamaa wanatarajia sisi tu-panic ili tuwashike mkono tuwaambie wasituache!
Dua la kuku halimpati mwewe kamwe!Au vijana wa siku hizi hamfundishwi methali mashuleni?kama wewe ni Mulugo graduate nakupa pole sana!!!
Hata mwenyewe ulichoandika nina uhakika huelewi unaongea nini,rudi shule to educate yourself.
In English Please![/QUOTE
unachekesha sana wewe,wenzako wanajitahidi kukumbuka na kuandika Kiswahili kizuri maana hapa labda ndio sehemu pekee wanayoandika kiswahili
Asikudanganye mtu ndugu yangu labda kwa watu kama akina Kagame but I believe Kenyatta is smart enough. Hata hao akina Kagame wangekuwa smart wangegundua ni very risk kuitegemea route moja! Kuna mtu hapa nilimweleza kuhusu unapofanya SWOT Analysis; ni lazima uangalie threats associated with any planned project! Ikiwa Rwanda wataamua ku-opt bandari ya Mombasa badala ya Dar es salaam; si tu kwamba efficiency ya hilo litategemea na stability ya Kenya Peke yake bali pia Uganda coz' the route inapitia two different countries! Museven nae katika kufanya SWOT analysis anatakiwa kuangalia political and civil stability kati ya Tanzania na Kenya!Da! umeandika kweli,lakini umeharibu hapo mwisho,hawa jamaa hawana muda wakubembeleza mtu,kama tanzania ilifikiri wataibembeleza siyo hizi nchi tatu wao wanajitoshereza.