Ninasupply kuku wa kienyeji pure

Ninasupply kuku wa kienyeji pure

Martin Mhina

Senior Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
169
Reaction score
37
Nnasaply kuku Daressalam Bei jogoo Tsh 15000 mtetea 12000 ,iila kwa Anaehitaji kuku wengi kwa kila wiki or siku kaza bei ya jumla Tsh 13000 mchanganyiko yaan matetea na majogoo Karibun no, 0714994833/0788293736
 
tupia picha mkuu, sku hizi kuku kienyeji ni changamoto wengi wamechakachuliwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom