Hapana. Huyu atakuwa Muhaya. Subiri aje aanze kuelezea vilivyomo kwenye hayo mabegi. Vyote ni designer products na anasoma Harvard au ni CEO wa 500 company huko majuu.
MziziMkavu umenikumbusha mbali miaka ya 80 na 90 hapo ndio mzungu au baharia kashuka kutoka ubatani au teiruza basi wana wote mtavaa vzr kitaa yako wp hayo maisha aisee