CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 950 Nov 9, 2014 #21 Ahahahahaaaaaaaaaaa!!!!! born here here ahahaaaaaaaa!!!!!! Kwa hayo mafurushi tegemea kukaa airport ya Dar wiki nzima,nowadays jamaa wanakagua mpaka mapumbun.i.
Ahahahahaaaaaaaaaaa!!!!! born here here ahahaaaaaaaa!!!!!! Kwa hayo mafurushi tegemea kukaa airport ya Dar wiki nzima,nowadays jamaa wanakagua mpaka mapumbun.i.
Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,545 Reaction score 15,781 Nov 9, 2014 #22 AY huyu, sijui mibegi yote ya nini hii! Labda ana wazimu huyu. Kabeba mitumba akawakomeshe bongo fleva wenzie bongo. Usupa staa bongo tabu sana.
AY huyu, sijui mibegi yote ya nini hii! Labda ana wazimu huyu. Kabeba mitumba akawakomeshe bongo fleva wenzie bongo. Usupa staa bongo tabu sana.
mutant gene JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 876 Reaction score 326 Nov 9, 2014 #23 Mbwembwe zote hizo ukute mfukoni ana USD 1000 tu ndo anazorudi nazo!!! Ushamba mzigo!
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,095 Reaction score 39,619 Nov 10, 2014 #24 Hahaaa,home coming??? Bila shaka kabeba fridge,tv,radio,jiko,kitanda,masufuria,meza,kabati,nguo,mabeseni,mito,akifika bongo tayari ana kila kitu. Sent from my radio
Hahaaa,home coming??? Bila shaka kabeba fridge,tv,radio,jiko,kitanda,masufuria,meza,kabati,nguo,mabeseni,mito,akifika bongo tayari ana kila kitu. Sent from my radio