Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,485
- 867,268
Ni serikali iliyochanganyikiwa na kujawa na hofu ndio inayoweza kuhangaika na kauli kama hizi.. Sikushauri uwe sehemu yakejaman nimekutana na kauli ya Askofu kakobe ambayo sijajua maaana yake nn na kwa nn kaitoa
kuwa yeye anapesa zaidi ya serikali naomba kujua mali zake.......