Ninapendwa na wasichana wawili, nifanyeje?

Ninapendwa na wasichana wawili, nifanyeje?

zaqzay

Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
7
Reaction score
1
Mimi ni kijana mstaarabu sana, ni Mchamungu, pia mwenye kujali hisia za wanipendao na wanichukiao vilevile.

Naomben ushauri. Ninapendwa na kina dada wawili, wote wananipenda sana, tena sana tu ndugu zangu na ninahitaji kumpenda mmoja ili niwe na penzi la dhati kwa nitakaekua nae.

Thamani yao kwangu ni sawa na sipendi nimuumize hata mmoja kwa uamuzi nitakaochukua, nifanyeje?

Oa wote Kama Unaweza Kuwawezesha...Maana Watz Twaweza Kila hata lisilowezekana.
 
Sema mimi napendaga wote sijui nishike yupi......tutakuelewa. Ni hivi hata upendwe na watu 100 kama hizo feelings haziko mutual huwezi kukosa usingizi

Jipangae...... zaqzay usisahau kuchagua CCM
 
Last edited by a moderator:
tafuta msichana mwingine. itakuwa poa zaidi
 
Mimi ni kijana mstaarabu sana, ni Mchamungu, pia mwenye kujali hisia za wanipendao na wanichukiao vilevile.

Naomben ushauri. Ninapendwa na kina dada wawili, wote wananipenda sana, tena sana tu ndugu zangu na ninahitaji kumpenda mmoja ili niwe na penzi la dhati kwa nitakaekua nae.

Thamani yao kwangu ni sawa na sipendi nimuumize hata mmoja kwa uamuzi nitakaochukua, nifanyeje?

Wakutanishe wote nyumbani kwako, then relax utaread machoni tuu atakaerudi deal nae, wakirudi wote tafta mwingine, na wasiporudi fanya hivyohivyo
 
inabidi awe nao kama sita hadi nane atleast kwa kuanzia, si unajua hawa dada zetu wapo wengi sana, akiwa na wawili anakuwa hawatendei haki
 
Wasikilize lost boys ,me and my crazy world wana ushauri mzuri tu
 
Angalia nani ana kitu mnato zaidi
 
Back
Top Bottom