Ninapenda kulia sana kama njia ya kutuliza machungu, je kuna ubaya?

Kulia ni raha sana, hasa ninapokuwa mbele za Bwana kwa maombi ama ibada.


✔ema sana, ✔ema sana.

Crying with a purpose, crying with a goal.

Ndugu mliaji unatakiwa ujifunze hapa, Sio kulia tu bila malengo kitu ambacho hata wanyama hufanya.
 
Kulia ni marufuku kwa mtoto wa kiume
Usijidanganye binafsi huwa nalia

Nakumbuka mara ya mwisho kulia ni pale mwanangu alipoungua na uji

Tukiwa hospital baada ya kupewa matibabu na kulazwa mtoto kawekewa mipira puani aise

Wakati najiaandaa kurudi home nimewaacha na mama yake hospital niliingia kwenye gari yangu nikajifungia ndani nikawasha ac nikaanza kulia ... Asikwambie mtu mwanaume nililia nililia nililia ... acha kabisa

Hasira zilipoisha nikajifuta machozi nikaondoka nikiwa mwepesi huku nikisikiliza gospel song
Lia uondoe sumu ndugu yangu
 
Kabla hujalia niite nikibembeleze. Za masiku kaka?
Tatizo machozi huwa hayatoki but kulia ni dawa.

Wanaume wengi hufa mapema kwa ajili ya kutengeneza sumu ya mambo machungu ya muda mrefu. mwishowe huleta maradhi. Kuna wakati maumivu ya moyo yalitaka kuniletea uchizi zaidi ya mwezi siwezi kulala wala kufanya jambo la maana.

Nilipoona ninaelemewa...nilijifungia mahali nikatafakari kwa kina, ghafla machozi yakaanza kububujika zaidi ya saa moja.
Baada ya hapo nilipona kabisa na nikafanya mitihani na ufaulu juu kabisa.

Nipo salama mamiii.
Sijui wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Usijidanganye binafsi huwa nalia. Nakumbuka mala ya mwisho kulia ni pale mwanangu alipoungua na uji. Tukiwa hospital baada ya kupewa matibabu na kulazwa mtoto kawekewa mipira puani aisee...
Kwenye swala la familia nimekuelewa. you a very right bro.
hv a good day.

umezungumza kitu ambacho hata mm kimenitachi.
 
Sijwahi lia aisee. Mi naamini everything which hapens in my life, it happens for a reason. Sina haja ya kujutia wala kulia
 
Kama dada yangu vile naye hulia sana hata jambo dogo tu
Lia tu ili uondoe huo uchungu, tena afadhali yako wewe unayedondosha chozi kuliko wale wanaokaa nayo moyoni maana nahisi hao ndiyo huwa wanateseka zaidi..!

Tena bora wewe ukikutana na madhila tu ndiyo walia, Mimi nalia nikikasirika, nalia nikihuzunika na cha kushangaza zaidi hulia pia nikifurahi, rafiki zangu huniitaga 'crying baby'..!
 
Hata mimi kaka kuagana na mtu tu nikiondoka naweza kulia
Kwakweli hayo ni maumbile hata mm huwa nalia sana. Hata nikiangalia baadhi ya move zenye hisia kali huwa machozi yananitoka.

Hata nikiagana na rafiki au mtu niliyemshiba kama kuna kutoa neno Fulani la shukrani huwa siwezi .

Mwaka huu, mwanangu alifukuzwa shule kwa kweli kitendo kile baada ya kumuona mwanangu nilipatwa na uchungu sana kama ningekuwa OSAMA siku nilikuwa nalipua shule.

Nililia sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom