britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
YesKama vile yupo na wanafunzi wake anamwaga nondo.
Hajabadirika Ila ninyi ndo hamuelewiKabudi wa sasa ni tofauti na yule wa Tume ya Warioba.
Na hapo ndio tatizo lake litakapo anzia. Mwenzake Muhongo alikuwa na style inayo fanana na hiyo tena yeye alikuwa anajigamba kwamba ni mwana sayansi akasahau yuko kwenye kilinge cha siasa hadi yalipo mkuta wanasiasa wale wakamkaanga (2X). Sasa huyu anapitiliza kutoa somo, nakuambia wanamsubiri tu siku ikifika watamtenda. Huwezi ukaongea na watu wazima tena wanasiasa ukawa unawaona kama wanafunzi. Binafsi hainipi shida sana lakini hao wenzake wanamlia timing tu.Mtanzania mwelevu atakubaliana na mimi kwamba professor kabudi ni makini na mara nyingi akiwa anafanya uwasilishaji wa hoja au kujibu swali haishii hapo , anatoa somo kabisa, ninapenda sana aina yake ya uwasilishaji,
Unaweza kunibishia hapa kwa mihemko lakin ukiwa peke yako sikiliza uwasilishaji wake katika hoja mbali mbali, maeneo mbali mbali anapokuwa anatolea maelezo,
Wanaongozwa na ule unafiki kwamba mtu akishakuwa ndani ya serikali basi anabadilika na kuwa shetani na ule ubinadamu unaondoka. Siasa zimewaondolea uwezo wa kuyatazama masuala kwa mizani ya haki.Hajabadirika Ila ninyi ndo hamuelewi
Hajabadirika Ila ninyi ndo hamuelewi
Yapo ya kiuchumi na ni mengi na muhimu kuliko hizi siasa za kukaa kwenye bunge maalum la katiba halafu inatumika pesa nyingi na watu wanaishia kuwaita wenzao intarahamwe.Kama alidiriki kusema kuwa katiba si kipaumbele kwa sasa wakati alishiriki katika tume ya Warioba utamwelewa huyo??!!
Ndugu yangu hii nchi imekwama hapa kutokana na katiba mbovu hii tuliyonayo.Yapo ya kiuchumi na ni mengi na muhimu kuliko hizi siasa za kukaa kwenye bunge maalum la katiba halafu inatumika pesa nyingi na watu wanaishia kuwaita wenzao intarahamwe.
Mkuu hizi siasa hazina maana sana kulinganisha na ujenzi wa treni ya umeme kutoka Dar mpaka Rwanda. Kulinganisha na ongezeko la utalii, kulinganisha na ongezeko la mikopo kwa wanafunzi wa elimu za juu.
Umasikini wa Afrika huchangiwa kwa kiasi kikubwa na hizi mbwembwe za wanaharakati kudai katiba mpya kana kwamba kuna kifungu cha kikatiba kinachozuia ubunifu wanaopaswa kuwa nao vichwani mwao.
Hao wengine wasiopewa mamlaka na katiba mbona wamekuwa wakifanya madudu kila kukicha!!.Ndugu yangu hii nchi imekwama hapa kutokana na katiba mbovu hii tuliyonayo.
Nchi nyingi zilizoendelea katika mfumo wa demokrasia ni Kwa sababu ya katiba nzuri.
Yaani hatuwezi kuendelea na hili likatiba letu hili la hovyo eti kuna kipengele kinasema kutakuwa na Baraza la mawaziri ambalo ndio litakuwa mshauri mkuu wa rais halafu hilohilo likatiba linakipengele linasema eti rais hatalazimika kusikliza ushauri wa mtu yeyote. Halafu Ikulu kuna watu eti washauri wa rais.
Katiba kabisa inaelekea eti rais hawezi kushtakiwa, usenge mtupu . Ndio maana wanafanya mambo ya kipuudhipuudhi kama ya Mkapa kujibinafsishia mgodi wa makaa ya Mawe kiwira.
Katiba inampa mamlaka makubwa Rais ya uteuzi na kumfanya kuteua baadhi ya watu wa hovyo kama kina bashite kuwa viongozi, nchi iendelee wapi.
Majirani zetu Kenya wataendelea kutuacha sana Kwa sababu ya katiba yao nzuri na yenye kueleweka.
Ni kwamba umasikini Kwa raia wengi wa nchi nyingi za Afrika Tanzania ikiwemo huku viongozi wachache tu wanasiasa wapiga domo wanakuwa matajiri kulipo wafanyabiashara wengi wanaohangaika usiku kucha
NdiyoVedio sijasikiliza 'sina mb za kutosha' ila huyo waziri namkubali sana
Na mimi Prof Kabudi hunikumbusha Prof Muhongo
Yapo ya kiuchumi na ni mengi na muhimu kuliko hizi siasa za kukaa kwenye bunge maalum la katiba halafu inatumika pesa nyingi na watu wanaishia kuwaita wenzao intarahamwe.
Mkuu hizi siasa hazina maana sana kulinganisha na ujenzi wa treni ya umeme kutoka Dar mpaka Rwanda. Kulinganisha na ongezeko la utalii, kulinganisha na ongezeko la mikopo kwa wanafunzi wa elimu za juu.
Umasikini wa Afrika huchangiwa kwa kiasi kikubwa na hizi mbwembwe za wanaharakati kudai katiba mpya kana kwamba kuna kifungu cha kikatiba kinachozuia ubunifu wanaopaswa kuwa nao vichwani mwao.
Mchakato aliuanzisha JK na ni yeye anayejua kwanini muda ule ulikuwa muafaka.Mkuu lakini mchakato wa katiba mpya si ulianzishwa na serikali yenyewe?! Kwani ulianzishwa na wanaharakati??!!
Kama walijua kuwa watautelekeza mchakato kabla ya kukamilika kwa nini wakatumia mabilioni ya pesa ambazo zingeweza kutumika katika shughuli nyingine za maendeleo?!