Ninapata wasiwasi wa kuoa

[emoji1][emoji1]kunishawishi kavukavu hamna hata kazawadi
Aaaah, Zawadi tena.
Basi Lala hivyohivyo, utaacha mwenyewe.

Halafu haya mambo zamani mlikuwa mnafundwa, kazi za mashangazi hizi.
 
Kuna demu huwa anakuja geto hasa weekend na ratiba anayo kabisa DStv channel 160 kipindi cha harusi Yetu ndiyo kinaitwa hivyo aisee watu bado wanaoa jamani huwa nashangaa sana..
 
Niko kwenye kikao cha Ndoa hapa. Kinanihusu. Naoa mwanzoni mwa mwezi wa tatu, uzoefu Miaka mitano.
Mkihitaji ukumbi mzuri wa kisasa, ziwani tafadhali msisite kunitafuta na nitaingia kweny kamati pia.
 
Well said Doctor.
 
Tumesha-zizoea hizi hoja zenu za kijinga,, njooni na hoja za maana.
Mkuu mimi team kataa ndoa!hapa nanogesha mada tu!dunia ya leo kuoa ni sawa na kufuga jini,masharti kibao na damu linakukausha.
 
Tumesha-zizoea hizi hoja zenu za kijinga,, njooni na hoja za maana.
Mkuu mimi team kataa ndoa!hapa nanogesha mada tu!dunia ya leo kuoa ni sawa na kufuga jini,masharti kibao na damu linakukausha.
 
1.MASANJA
2.MWAKA
3.MANARA
4.NIKKI
HAO WOTE WANA MAJINA, KIPATO, MUONEKANO MZURI.
NINI KIMEWATOKEA?

NAKUMBUSHA TU MAUMIVU YA TALAKA YANAPOTEA BAADA YA MIKA 10 MPAKA 15.

KAMA UNA UHAKIKA WA KUWA NA MKE MTIIFU, MNYENYEKEVU, MSIKIVU MIAKA YOTE KAMA MLIVYO KWENYE UCHUMBA, URAFIKI. OA, NA KINYUME CHAKE
 
Broo dunia ndio hii na bora ukaowa leo kuliko uje kuowa huko mbele ndio baraaa zaidi bora sasa hivi mwanamke anaakaa japo mwezi huko mbele itakuwa ndoa jioni kesho asubuh anaamkia kwao na taraka kwahiyo usiogope na wew jitose hakuna atakayekushangaa ndio dunia imefikia stage hiyo
 
Wengine wanauana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…