Ninapata wasiwasi wa kuoa

natafuta mchumba wadau.nimefumania mke nikaacha nataka nioe mwingine.

atakae vutiwa pm ipo wazi karibuni waremboo.
 
Mwamke wa kudumu nae ni mama yako tu apa duniani litambue kwanza ilo.alafu oa tu ikitokea ajali ya kuachana au kufumaniana kubaliana na matokeo
 
Mbona hueleweki?
 
Kweli alafu humu watu waongo sana mtu Leo anathraed kataa ndoa na anasema haoi kesho anasahau anaomba ushauri mkewe kaenda kijijin hajarudi 😂
Hatarii sanaa 🤣🤣🤣🤣
 
Oa mzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…