Ninapata wasiwasi wa kuoa

Kuna options mbili tu duniani KUOA au KUOLEWA!
Maadam umeshaogopa ya kwanza?basi ya pili inakuhusu!kila la kheri
 
Kama una kazi na unaingiza kipato yaani una uhakika wa kupata Tsh. 10000 kila siku tafuta binti mtulivu oa brother japo utumie akili tu broh.
 
Tafuta stori nzuri pia usome. Huko ndo utajifunza.
 
Umemaliza bro.
 
Achana na maisha ya maigizo ya mitandaoni,ishi maisha yako halisi,aishi maisha yake halisi,achana na wafanya maigizo ya maisha.Ukishindwa hilo maisha yalishakushindaπŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…