Ninapata wakati mgumu sn kimapenzi

Ninapata wakati mgumu sn kimapenzi

Kaka usioe mwanamke wa dini tofauti na wewe au imani tofauti na wewe, utakuja kujuta katika maisha yako yote.
Ndoa siyo majaribio.
Yangu ni hayo tu.
Usioe mke wa dini tofauti, ni ujinga......! hata akisema atabadilika, usimwamini, utakuja kujuta na usiseme ukuambiwa.....

Oh siwezi mwacha, ni la Aziz, ujinga, unaweza kumuacha kabisa, oh nitakufa.... Ujinga, na upumbavu.
 
Hbr wanajamvi .Mm ni mkristu na mke wangu ni muislim sasa tumeshindwa tufungie wapi hii ndoa yetu msaada tafadhali wenye uzoefu
Niliona juzi maisha magic bongo kipindi cha harusi yetu ndoa ilifungwa kanisani ila bibi mkristo na bwana muislam na wakapewa cheti cha serikalini ambacho walikuja nacho kanisani apo
 
msahuri abadili dini......au wewe badilisha......bila hivyo utakuja jutaa...
 
Kila mmoja aendelee na imani yake. BTW inaoneka elimu ya dini zenu iko chini sana..
 
Watoto wenu wanafuata dini zipi? Kwa upande wa dini yangu hio sio ndoa hiyo ya bomani ila kwakua itakubidi ufunge kwa ajili ya mambo ya mirathi, Cheti we nenda bomani tu ila sisi Muslim kwetu sio ndoa labda we ndo ubadilike sjajua kwa dini yenu ya kikrsto ya bomani kama mnai consider ni ndoa
 
Maisha ni ela sio dini,ndoa pia ni makubaliano,fungeni kokote mnapoona ni rahisi
 
Unaomba Ushauri Wakati Umeshakosea
Ulikuwa Unaona Raha Tu, Sasa Hivi YAmekufika
Huna Ujanjaujanja Hapo Lazima Ukubali
Umekosea
 
Haifungiki Hiyo
Kumbuka Imani Ya Kila Mmoja Ni Ngumu
Haa
 
Hbr wanajamvi .Mm ni mkristu na mke wangu ni muislim sasa tumeshindwa tufungie wapi hii ndoa yetu msaada tafadhali wenye uzoefu
tatizo lako unapapalikia kuoa wakati akili yako haijapevuka. huyo ni mchumba wako sio mke wako. Kafungie porin pumbaf
 
Ndoa za dini mbili tofauti mara nyingi hazidumu.
 
Sasa wew ni yupi Kati ya hawa

1.mwanaume kiongozi
2.mwanaume mtawala
3.mvulana
Utaacha wazazi wako.utaambatana na mume wako unajua maana ya kuambatana ni kukufuata km parachute wew ndio unamaamuzi sasa humu umekuja kuonesha namuna ulivyo dhaif.
 
Sio lazima uwe na dini wala ndoa! Cha muhimu ni upendo na amani huku mkiheshimiana na kufurahia mapenzi yenu na familia yenu.

Mengine ni kujitwika upepo tu
 
Back
Top Bottom