Fungieni kotekoteHbr wanajamvi .Mm ni mkristu na mke wangu ni muislim sasa tumeshindwa tufungie wapi hii ndoa yetu msaada tafadhali wenye uzoefu
Hbr wanajamvi .Mm ni mkristu na mke wangu ni muislim sasa tumeshindwa tufungie wapi hii ndoa yetu msaada tafadhali wenye uzoefu
Hbr wanajamvi .Mm ni mkristu na mke wangu ni muislim sasa tumeshindwa tufungie wapi hii ndoa yetu msaada tafadhali wenye uzoefu
ndoa ya kiserikali freshHbr wanajamvi .Mm ni mkristu na mke wangu ni muislim sasa tumeshindwa tufungie wapi hii ndoa yetu msaada tafadhali wenye uzoefu
hata wakifunga hiyo ya kimila mwishi wa siku watasumbuana tuSio lazima wende kanisani ao Muskitini... Funga ndoa yakimila, mchezo kwisha.
hata wakifunga hiyo ya kimila mwishi wa siku watasumbuana tu
Mbali na matumizi ya kinga, contraceptives, mlishindwa kutumia kalenda kwenye mchezo wenu?Nina watoto2 nae mpk sasa mana tulianza kamchezo chuoni