Ninaomba ushauri juu ya hii gari

Mr. madevu

JF-Expert Member
Mar 2, 2013
432
74
Kuna mtu ananiuzia gari aina toyota carib. Iko kweli hali nzuri sana tu. Ila hofu yangu ni juu ya spare pamoja na ulaji wa mafuta wa hii gari, je ni economy? Na je inafaa kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani?
 
Back
Top Bottom