Ninaomba msaada wa kulipiwa ada

kiufupi omba omba kama hawa wanatakiwa waweke picha zao na namba ya mkuu wa shule, ada iingizwe shuleni moja kwa moja.
 
Yaani uwezo wa kuendelea hapo ulipo huna?!
Then uwezi kuhama ? U r not serious!
Dar kuna shule nyingi nzuri tu za bei ya chini, km una nia ya kusoma tafuta shule yenye gharama nafuu hizo za mamilioni waachie wenye uwezo ww ndo umrishia hapo ,hama!
Form 3 huwa wanahama shule???
 
Humu tunatoa msaada wa maneno tyu.kama ni msaada wa cash nenda kanisani ama msikitini.ada yetu ss n pesa ya bando tu.
Ushauri:-
Uza hiyo smart phone kisha lipa ada,kama umeazima kwa mtu hiyo smart pia waweza mwazima pesa kama ulivyoazima smart 4n.
 
Afadhali umemwambia ukweli watamlala kweli
 
Hahaaaaa wanyonge Wa JF washapata pa kuoshea leo mana kila yule anataka aulize swali, kwa Zile njemba za kitonga mshapewa mpaka namba ya Ajuza 69 kaz kwenu. Namuonea huruma huyu mtoto kama ni kweli. Dogo kama ni kweli rud kwenye uzi, edit kwa kuweka kila kitu cha muhimu(kama baadh ya wadau walivyoshaur) kitakachojenga imani kwetu kama kweli u mhitaji wa msaada tajwa, kinyume na hapo sikushaur chochote ngoja wadau waendelee ku apply more pressure kama ni tapeli lazma the character would be revield mana hutaweza ku handle more pressure ya JF kwaio soon utapanic na ukishapanic lazma udakwe kwa kua panic hubeba siri zote ndani ya moyo wa mtu.
 
nimefuatilia comment zako mtoa mada
jinsi unavyo jibu maswali ya wachingiaji
inaonekna unajitambua mnoo kuliko binti wa miaka 16 ambye unajaribu kumuelezea...kidogo inatia shaka kuamini umri wa miaka yko

anyway ngoja niweke akiba ya maneno kiasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…