Ninaomba msaada wa kulipiwa ada

Precious adam

Member
Joined
Jan 6, 2018
Posts
40
Reaction score
11
Natumaini mnaendelea vizuri na ni wazima wa afya kwa mwaka huu mpya mm ni mwanafunzi ninayeingia kidato cha tatu mwakani na ninaamini nitafaulu kwa ufaulu mzuri lakini sins ada wazaz hawana uwezo hivyo naomba ufadhili wa miaka miwili tafadhali kutoa ni moyo si utajiri Mungu awaongoze naamin mtaniwezesha
 
Natumaini mnaendelea vizur na ni wazima wa afya pamoja na familia mm ni mwanafunzi wa kidato cha tatu mwakani na Nina IMANI nitapita ivyo nilikuwa naomba mfadhili wa kunisomesha na nitashukuru na ni kwa muda wa miaka miwili tu kwan kuendelea naamin nitajitahid na familia na nitajiwezesha mwenyewe ntashukuru mkilipokea mkono mmoja asanten Mungu awe nanyi
 
Pole sana, jieleze vizuri kidogo...mfano unasoma wapi? wa kike? au kiume? shule ya Gov au Private nk, mkowa gani.
kila la heri
 
Pole dogo,unahitaji kiasi gani? Umeshawahi kumshirikisha mkuu wako wa shule kuwa huna uwezo wa kulipa ada?alikushauri nini au hatua zipi alichukua kukusaidia? Unasoma government or private? Jaribu kuweka uthibitisho kuwa kweli ww ni mwanafunzi wa shule fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…