Ninaomba Jibu la Hesabu Yangu hiyo

Ninaomba Jibu la Hesabu Yangu hiyo

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,092
Reaction score
34,904
11167988_1209798619034554_1803997169466046969_n.jpg
 
Attachments

  • Hesabu kali.jpg
    Hesabu kali.jpg
    9 KB · Views: 555
Mi mwenyewe nimepata 8......... Hawa waliopata mbili..........wamepataje............?........

Hesabu ni tatizo la nchi bwana,hata ukitoa ya kujumlisha namba nyingi tu hapa majibu yatakuwa tofauti sana...nimeangalia walivyopata sijapata wamefanyaje.
 
Wengi watachanganya hapo kwenye 5-0+3, watafikiri hv 5-0+3= 0+3= 3 afu 5-3 kitu ambacho sio kwel kwa sababu 0 imebebwa na negative so -0+3=+3 ndo utaiplus na 5 kupata 8!
 
Wengi watachanganya hapo kwenye 5-0+3, watafikiri hv 5-0+3= 0+3= 3 afu 5-3 kitu ambacho sio kwel kwa sababu 0 imebebwa na negative so -0+3=+3 ndo utaiplus na 5 kupata 8!

negative 0 mkuu?
 
Ndio, bila kuwa na iyo asumption ya -0 utakosea. Kwa sababu sign ya negative ishamtazama 0 kwa io maana lazma ibadilike kufuatana na tendo,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom