Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,018
- 20,489
Mbowe akimpa Lecture Mchumi Daraja la Kwanza Mwigulu Nchemba na Boss wake Saada Mkuya
Kwakweli kunahaja kubwa ya kumtunuku Mbowe cheo cha heshima cha kitaifa kutambua mchango wake, Leo ameweza kuwaunganisha makundi yote hasimu na mengineyo, Leo sumaye na Lowasa waliokuwa maadui wanacheka pamoja?
Aaah Mbowe nakupa cheo cha Rafidainian Order First Class, ROFC, Hiki ni cheo cha juu kwa jasusi mwenye taaluma zote na uzoefu wa mission ngumu ndani ya idara ya ujasusi duniani, yaani mpanga mikakati, na mtekeleza mikakati ikiwemo uwezo mkubwa wa wa diplomasia ya kijasusi. Nawiwa na furaha na kuona taifa jipya la Tanzania likizaliwa mikononi mwa Mbowe.
Nakupa saluti kubwa sana ya Ukombozi Kamanda Mbowe, Navutiwa kuona Mbowe unakuwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa nchini Tanzania baada tu ya kulikomboa taifa hili, naamini utafanya mapinduzi makubwa sana ya Idara hii nchini
Last edited by a moderator: