Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,873
Maisha ni zaidi ya siasa.
Maisha sio umaarufu.
Maisha sio kutafuta jina.
Maisha ni uhalisia wa kitu kinachotokea mbele yako.
Napenda kuongea na Zitto Kabwe kwa barua ya wazi kuwa wewe Zitto bado ni kijana mdogo sana. Watu wengi wamepigana kwa ajiri ya taifa hili. Kuna wengine wamepoteza viungo vyao kwa ajiri ya taifa letu ili sisi tuwe na utulivu.
Wapo wengine hawalali kwa ajili ya usalama wa nchi yetu.
Wewe Zitto upo hapo ulipo unakula kunywa na kuvaa. Na mda mrefu utaoa. Utaishi maisha ya furaha na mke wako huku hujui ni nani anayefanya uweze kufurahia mahaba yako na mke wako.
Zitto Kabwe ninakuandikia waraka huu wa wazi ili ujue katika siasa unazozifanya ujue kuna watu hawalali kuhakikisha kuwa watanzania wote wanaishi kwa amani.
Zitto Kabwe kumbuka kuwa nchi hii umezaliwa ukaikuta ipo na amani. Na ukaweza kusoma vizuri ili uweze kusaidia jamii inayokuzunguka ipate maendeleo. Pamoja na kusoma uchumi na kuwa mbunge mda mrefu mkoa wako umekuwa miongoni mwa mikoa maskini Tanzania. Zitto Kabwe unatakiwa ujue hayomaisha unayoishi wana kigoma wanayatamani.
Kwanini usifuate ambayo wazazi wako walikuambia.Wewe umekuwa msemaji wa wanakigoma lakini umeamua kujitoa ufahamu na kusahau kabisa maisha ya shida ya wanakigoma na kufuata manufaa yako tu ya kisiasa.
Zitto Kabwe. Nakuomba ubadili mtazamo wako. Wewe sio yule Zitto halisi. Ngalia ni wapi umenguka.