Heshima kwenu Wakubwa..
Mimi ni Kijana wa Kiume,Nimempenda dada Mmoja hivi Ila Tunalingana Umri(wote tuko 24) na Nafikiria Kumuoa, MUNGU akipenda..
Hebu Fungukeni na Maushauri yenu...Hivi Imekaa Njema kwa Mimi kumuoa Msichana Ambaye Tunalingana Umri?
Heshima kwenu Wakubwa..
Mimi ni Kijana wa Kiume,Nimempenda dada Mmoja hivi Ila Tunalingana Umri(wote tuko 24) na Nafikiria Kumuoa, MUNGU akipenda..
Hebu Fungukeni na Maushauri yenu...Hivi Imekaa Njema kwa Mimi kumuoa Msichana Ambaye Tunalingana Umri?
hakuna ubaya umri sawa au hata kuzidiwa,tatizo lipo age yenu bado ndogo sana,kwa maoni yangu umri mzuri kwa mwanaume kuoa ni 30+!ukibana sana 28!sasa challenge kubwa kwenu ni kuvuka hiyo miaka 4 mpaka sita toka sasa,tatizo wanawake wameumbwa kuwahi mambo ktk almost kila kitu isipokuwa ktk ndoa waume zao ndio huanza kufa!mwenzio akiwa mwenye subira mtaweza!all the best
Age aint nothing but a number. But kutaka kuoa miaka mitano ijayo inanipa mashaka kidogo. Mabinti wengi katika umri wa huyo wapo katika hamu kubwa ya kuelewa na yeyote atakayekuja akionyesha seriousness. Anyway, Endelea nae kama rafiki ili muendelee kujuana tabia, other things will come automatically.Age yetu bado ndogo I know that...By the way sijapanga kumuoa muda huu...I hope kuoa Miaka 5 ijayo...Najipanga kwa sasa
Ni Ushauri nahitaji tu Bi Mkubwa..teh teh teh
Endelea kujidanganya, wewe hauijui kazungurukee. subili nitoke huku mgodini na mipesa yangu uone kama mtafikisha hata miezi mitano, achilia mbali miaka mitano ijayo.Age yetu bado ndogo I know that...By the way sijapanga kumuoa muda huu...I hope kuoa Miaka 5 ijayo...Najipanga kwa sasa