Ninampenda Haika Lawere

Bruh kwani wangapi wanarithi zinaisha mzee ??

Kapambana na kusimamia urithi kajitahidi lzm tumpe maua yake

Issue ya yeye kukosa hekima na busara ndo kipengele kingine hicho!!!

Sidhani kama Haika ni mbaya kiasi hiko cha kulaumiwa mzee
 
Bruh kwani wangapi wanarithi zinaisha mzee ??

Kapambana na kusimamia urithi kajitahidi lzm tumpe maua yake

Issue ya yeye kukosa hekima na busara ndo kipengele kingine hicho!!!

Sidhani kama Haika ni mbaya kiasi hiko cha kulaumiwa mzee
Haika kuna tatizo analo

anajijua ana platform ya kuongea na nchi kumsikiliza,badala aongee kusaidia familia zisivunje yeye anachochea zivunjike

thats bad faith

Inaonesha wazi hata ndani ya ndoa yake she didnt do well kama mama,sasa anataka kuhamishia her failures to influence other women in the country to decimate their own families

mali wamerithi yeye na ndugu zake wa familia yao........yeye sio "Founder"....yeye ni "employee" kama wengine

amepewa kile cheo kama custodian wa wenzake...siku wanapiga kura wanamtoa hicho cheo wanaweka kenge mwingine

yeye anatuambia kafungua biashara zake ngapi na kazisimamia mpaka zikafanikiwa na ku multi-billion TZS companies?Jibu ni HAKUNA!

Unachoshindwa kuelewa ni kwamba kuna more than 40mil women in this country,very few can have cheo au mali alizonazo huyu dada,say 1% of that,which its like 400,000 women.....

The remaining 39mil women in TZ are normal hardworking women,mama mboga,walimu,mama wa nyumbani,etc....

wao wavunje nyumba zao waende wapi?na kwanini anawabagua as if kua mama wa nyumbani ni less of a human being?

Mama wa nyumbani wamelea watu wote muhimu dunia hii,huyu Haika anawaita takataka kwasababu hawana mapesa na mabiashara makubwa kama yeye,hii ni busara na hii sio ubaguzi?Huyu mwanamke Haika anajua anachokiongea kweli?

This is sad!
 
Noted
 
Akinikubalia ninamuoa
 
Mbona povu?? Au wewe ndio Ex wake huyo Haika Lawere.?
 
Mbona povu?? Au wewe ndio Ex wake huyo Haika Lawere.?
kwahiyo ulitaka kila mtu aunge mkono hoja?

anaeipinga ni EX wa Lawere?

Acha uduwanzi

Soma hoja,check my inputs,kama hazipo sawa sawa ndio uniambie,mengine ni stori za kimalaya tu

wewe unataka hoja zitolewe kwa tone unayotaka wewe ya ulaini laini ili tumfurahishe Lawere au wewe?
 
Yeye hakupendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…