Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,787
- 41,028
Safari njema
600km
Angalia afya ya mwili na toyo
Tusimwambie ukweli mkuuKweli hesabu ni ngumu.
Tusimwambie ukweli mkuu
mkuu hawa jamaa hawajui mziki wa XL wanavyoona toyo wanajua ni hivi viberiti boxer mimi nataka uzoefu tu ila uhakika wa kufika najua upoKwa mwendo wa xl ally's haoni ndani.anachotakiwa abebe hata kilo 100 za mchele ili apate balance.mm nilitoka mwanza kwenda nzega nilitumia masaa 2na nusu.gali iliyonipita ilikuwa moja tuu na ilikuwa na speed sijawahi ona maisha yangu yote.maana iliponipita ndani ya sekunde kama 6 barabala iliyonyooka ilikuwa haionekani
ndugu XL mpyaa haijamaliza hata mwakaJuzi kati nimetembea 400km kwa saa chache sana,Pikipiki inahitaji umakini uwapo barabarani lakini kwa route ndefu una enjoy sana.
Jihimu anza safari mapema ukiona afya yako mgogoro tembea siku mbili.
Zingatia pikipiki iwe njema ifanyie service vizuri,
Kila la heri.
mkuu hawa jamaa pengine hawajui mziki wa XL450 wao wakiona toyo wanajua ni hivi viberiti boxer, na fekon hii mi mashine bei yake yenyewe unanunua vitz mbili na ballance ya mafuta inabaki tatzo watu washakalili wakiskia toyo waambie mkuuHonda XL 450 hiyo safari ya kawaida tu yupo mwamba alikua anazipakia hizo Jozi na truck wakifika Lusaka wanaendesha mpaka Tunduma sasa hivi ana truck la kubeba piki piki zake...ila piki piki zile kubwa wana nguo kabisaa mwingine alitoka Jozi na BMW mpaka daslm ile yenye 1200 CC alikua anatumia muda mchache kufika mpaka mmoja kwenda mwingine tofauti na gari..
ahsante mkuuKila Kitu kinawezakana Nothing imposible angalia uimara wa pikipiki yako kuanzia mipira pamoja na full service ,plug ni muhimu sana kutia OG na japo mbili tatu kuchukua hakiba tena ziwe OG pamoja na oil hata kama lita mbili plus uwe na Road Map ujue unatoka wapi mpk wapi napunzika sio unakwenda tu kama zombi ni vyema wakati wa kuondoka ukaanzia kama saa 10 za alfajiri ikifika mida ya 6 mchana utakuwa uko mbali sana kama hali ya hewa si ya joto endelea na safari mchana kama uko fit kama ni joto punzika anza jioni ,na kila ukifika pahala pa kupunzika angalia piki piki yako angalia oil na vitu vyengine katika mwendo angalia sana temperature na fikiri hayo yanatosha na zaidi yategemea afya yako sijui uko fit kiasi gani .
mkuu nishafika nipo hapa four wayz nakula nyama choma hukuMkuu kama vipi upitie hapa Dom nikuuzie jeneza kabisa uende nalo maana hiyo safari ndefu ya Mungu mengi!
Tulia tafuta hela ufix hyo gari yako achana na habari za Toyo safar hyo ni ndefu Sana hata Kama unataka kufanya utalii sikushauri mkuuHabari wakuu, hapa ninampango wa kutoka Mwanza kwenda Dsm na pikipiki aina ya XL kwa ambao walishawai kutoboa route ndefu na toyo tupeane uzoefu na changamoto zake na zipi na ni mambo gani inatakiwa kuzingatia njiani! sababu huwa sipendelei usafiri wa public nilishazoea kutumia Gari binafsi ila kwa bahati mbaya Gari langu limepata hitilafu ambayo naona uwezekano wa kuifix na huu usawa wa tozo itanichukua mda kidogo, hebu nipeni uzoefu kwa mliowahi kutoboa na toyo masafa marefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una moyo sana. 40km??Dar- Mwanza kwa pikipiki?
Mimi pikipiki mwisho km 40 tu.
Ehh 600600km
Angalia afya ya mwili na toyo