Ninaloona kama faida leo kwa watumishi kwenye Mei Mosi 2025

Ninaloona kama faida leo kwa watumishi kwenye Mei Mosi 2025

Kijukuu cha ngoyayi

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2018
Posts
2,916
Reaction score
5,514
1. Ni kutoenda kazini na kupata faida ya kupumzika na wenye mishe zao kuzifanya.

2. Kwenda kushuhudia mama akifanya kampeni kmy kmy kwa kisingizio cha mei mosi.

3. Kushuhudia shoo ya wasanii ambao ni machawa na comedy nyingi tu.

4. Kimasirahi kilio ni kile kile na ahadi zisizotekelezeka.

5. HONGERENI WATUMISHI KWA KWENDA KUSHUHUDIA MATUSI KATIKA UTUMISHI WENU
 
Back
Top Bottom