israel daud
Member
- Jun 14, 2017
- 14
- 2
PAMBANA NA HALI YAKO!Habari zenu watu wazito,
Naamini mko salama,
Kuna jambo 1 linaniumiza kichwa kuhusu kumuoa dada yangu kwa kawaida hii aiji akilini kuoa ndugu yako wa karibu wala haileti picha nzuri kabisa.
Wakuu hii iko hivi..
Baba yake, baba yangu mimi alikuwa na shangazi yake ambaye mjukuu wa huyo shangazi aliolewa na mjomba wa upande wa mama yangu lakini akazaliwa mtoto wao wa nje ambaye baadaye akaja kumuoa dada wa baba yangu mimi na huyo mtoto akaja kuoa binamu wa baba yangu na mtoto wa jirani wa mdogo wake dada yake baba yangu alikuwa na watoto wakike mmoja akaolewa na upande wa waarabu na mwingine akaolewa ila hajapata mutoto lakini rafiki yake shangazi wa kaka yake baba yangu mimi ndio nimeambiwa nimuoe.
Sasa huyo nina muona kama dada yangu siwezi kumuoa kwa sababu ni moja wa upande wa ndugu zetu.
Mi sijaelewa kabisa
Anasemaje?
kabisa mkuu,maelezo hayako straightUkisoma vizuri haya maelezo unaona kabisa kuwa huu uzi ni wa uongo,mleta uzi tunaomba kojo lako plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee watu mnachekesha!Ukisoma vizuri haya maelezo unaona kabisa kuwa huu uzi ni wa uongo,mleta uzi tunaomba kojo lako plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa hakuna tatizo nakutumia pm
Oa tu. Kwan ulijaribu kuingiza ikagoma?Habari zenu watu wazito,
Naamini mko salama,
Kuna jambo 1 linaniumiza kichwa kuhusu kumuoa dada yangu kwa kawaida hii aiji akilini kuoa ndugu yako wa karibu wala haileti picha nzuri kabisa.
Wakuu hii iko hivi..
Baba yake, baba yangu mimi alikuwa na shangazi yake ambaye mjukuu wa huyo shangazi aliolewa na mjomba wa upande wa mama yangu lakini akazaliwa mtoto wao wa nje ambaye baadaye akaja kumuoa dada wa baba yangu mimi na huyo mtoto akaja kuoa binamu wa baba yangu na mtoto wa jirani wa mdogo wake dada yake baba yangu alikuwa na watoto wakike mmoja akaolewa na upande wa waarabu na mwingine akaolewa ila hajapata mutoto lakini rafiki yake shangazi wa kaka yake baba yangu mimi ndio nimeambiwa nimuoe.
Sasa huyo nina muona kama dada yangu siwezi kumuoa kwa sababu ni moja wa upande wa ndugu zetu.
Mkuu lazima umjue mtu vizuri sio kuoa tu bila mpangilio maalumu.Oa tu. Kwan ulijaribu kuingiza ikagoma?
Hahaaa lakini sijaridhika naye mkuu hana tako huyu mke ninaye lazimishwa kumuoa na isitoshe ni kama Dada yangu.Waarabu ni ruksa! oaaaaaaa
Uongo wangu uko wapiHii ndiyo jf ya digital na
Uongo wake
[Color= yellow]Triple A[/color]
Undugu ni upande wa baba mzazi.Yani hata sijaelewa hiyo pedigree yakoo
Kojo ndio nini mkuu...Nishamaliza kusoma nipe kojo lako
sizonjemadawa