Ciphertext
Senior Member
- Apr 21, 2012
- 160
- 33
Mafunzo gani ya week tatu? Week tatu ndo unatoa pofu kiasi hiki? Huna lolote, nenda wakakutoe sukari.Wana JF, salam!
Nategemea kushiriki mafunzo ya JKT yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya NCHI YANGU, VIJANA WENZANGU NA CHAMA CHANGU.
Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie JF.
nenda mayu ukafundwe ........manake unapitilizaga sana !wana jf, salam!
Nategemea kushiriki mafunzo ya jkt yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya nchi yangu, vijana wenzangu na chama changu.
Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie jf.
Wana JF, salam!
Nategemea kushiriki mafunzo ya JKT yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya NCHI YANGU, VIJANA WENZANGU NA CHAMA CHANGU.
Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie JF.
napinga mtanzania yeyote kwenda jkt na much more kwa mbunge! kwa mazingira ya tanzania na ya dunia ya sasa kupeleka watu jkt ni kuchanganyikiwa,ufisadi na zaidi ni kale ka mchezo ka mbuni kuficha kichwa mchangani ukijidai umejificha.tatizo tunalijua wote na sio watu kutokwenda jkt! lakini kwa sababu tumeamua tena kujidanganya kama kawaida yetu basi yatakayotupata na yatupate maana tumejipangia wenyewe kwa ujinga na uoga wetu wa kupinga mambo ya kijingajinga.
Wana JF, salam!
Nategemea kushiriki mafunzo ya JKT yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya NCHI YANGU, VIJANA WENZANGU NA CHAMA CHANGU.
Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie JF.
Wana JF, salam!
Nategemea kushiriki mafunzo ya JKT yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya NCHI YANGU, VIJANA WENZANGU NA CHAMA CHANGU.
Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie JF.
thubuuuutu muda wa kutupia updates atakua nao?Nakutakia Mafunzo mema na afya njema ili upate kumaliza salama...ucsahau kuupia updates za huko mkuu Mwigulu.