House of Commons JF-Expert Member Joined Oct 1, 2013 Posts 2,189 Reaction score 2,214 Oct 1, 2013 #1 Shikamoni wakubwa, wadogo zangu marahaba...Nimechoka kuchungulia madirishani, leo nimeona niingie baada ya kugundua hapa ni nyumbani. Awali niliona Mwanahalisi limefungiwa...Mwananchi na Mtanzania nao ndio hivo...au na hapa serikali itafunga?....
Shikamoni wakubwa, wadogo zangu marahaba...Nimechoka kuchungulia madirishani, leo nimeona niingie baada ya kugundua hapa ni nyumbani. Awali niliona Mwanahalisi limefungiwa...Mwananchi na Mtanzania nao ndio hivo...au na hapa serikali itafunga?....
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 19,025 Reaction score 22,551 Oct 1, 2013 #2 Karibu sana mkuu!
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,418 Reaction score 3,049 Oct 2, 2013 #3 Karibu JF.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,325 Reaction score 111,532 Oct 2, 2013 #4 Karibu sana JF
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,960 Reaction score 13,936 Oct 2, 2013 #5 Karibu sana JF.